benluv
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 441
- 343
HAHAHAHAHAA,watu noma sana humu...
sitasahau mwaka mmoja nlikutana na mwalimu wangu wa olevel,tukiwa mkoa mwingine.. nikamwambia madam unakumbuka somo lako nlikuwa sielewi kabisa sababu ya ulimbwende wako,na hadi leo huwa nakukumbuka.. sasa leo nataka nikupe ofa ya chakula na kinywaji ili nawe uwe na kitu cha kunikumbuka. dah,huwezi amini,baada ya kula na kinywaji kiasi naona teacher anaanza kucheka cheka tu,halafu akaniuliza we unaishi wapi nikamjibu nimekuja mkoani mara moja na nimefikia nyumba ya wageni ,basi kama nimejichongea...
eti twende nipaone ili kesho nikutafute,nyoooo....kumbe ndiyo gia zake za kiutu uzima ,mbona kufika room hakuna kiti ni kitanda cha guest,aaaahhh aliliwa mbona halafu mambo yake yako njema kinomaaa...mbona aliondoka saa sita usiku..
ila tuliendelea na kamchezo hadi naondoka mkoani kwake