HURIS
Member
- May 18, 2019
- 72
- 61
Natamani kweli niandike ila mke wangu yupo humu daily anapitia hii thread.Usiwe kama kabanga aliyekuja na id yake.
Njoo na fekero.
We huoni waala kimasihara wote ni id unpopular?
Watu wamekuja kivingine ila ni wale wale.
Sent using Jamii Forums mobile app
tumia code mkuu usiweke mifano halisi kama mkoa wa mwanza weka shinyanga sisi tunataka kula tunda tu mengine baki nayoNatamani kweli niandike ila mke wangu yupo humu daily anapitia hii thread.
Kuja na new ID nafikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kweli niandike ila mke wangu yupo humu daily anapitia hii thread.
Kuja na new ID nafikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nitaletatumia code mkuu usiweke mifano halisi kama mkoa wa mwanza weka shinyanga sisi tunataka kula tunda tu mengine baki nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgalatia [emoji1373][emoji1373][emoji1373] nakubali
Mgalatia [emoji1373][emoji1373][emoji1373] nakubali
Wagalatia na mabinti wa KO kama mgonjwa na uji...,nilipataga wangu pia kutoka KO,kuna jamaa nilikuwa nakaa naye cube moja pale chai,yeye alienda kwenye graduation akaniletea namba,tulikuwa tunaongea usiku kucha na hatujawahi kuonana, siku nimemaliza form six nkakutana naye Dar, alikuwa mrembo ila sio sana...., mambo mengine yaliendelea ila now she's married....I miss you F.
Balaaaa saaana nyinyi senzy saaana. Lile li cube lenu lilikuwa la mabraza meni sasa hao jamaa wengi mdio walikuwa wanamiliki mademu sita sita sisi wengine hata connections hatukuwa nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni tupu nawakumbuka kasoro wewe tuu ulikuwa bize na madaftari. Hahah ngoja tusizidi weka code hapaHahaha, nimewamis sana vijana wangu.
Ile cube yetu ilikuwa ni balaa.
Wahuni tupu nawakumbuka kasoro wewe tuu ulikuwa bize na madaftari. Hahah ngoja tusizidi weka code hapa
Sent using Jamii Forums mobile app