We shuka verse tu ulivomla wafute wasifute sisi mabaharia tutakuwa tumevuna experience
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh duh!
 
Na wewe nadhani itaishia kwenye ndoa kama baadhi ya wadau wameolewa na kuoa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe Siku mbili ulipiga 17 mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo ya yope yamponza mtu
Kama masihara kwenye sherehe ikawekwa nyimbo ya yope nilikuwa nacheza katika kucheza nilicheza hata kupita diamond na kukata kiuno kilikatika kweli kweli
Ilikuwa Usiku baada ya kuda nikafatwa na kidada moja la nguvu likinipongeza namna nilivyocheza
Muda si muda ananiambia nimsindikize kwake
Bila hiyana nikamsindikiza kufika tukaingia chumbani kwake kabla sijakaa au kutoka likaangusha Nguo zote
Anataka kucheze yope live
Kama masihara navuliwa Nguo na yope ikawa live kitandani
Yope iliwekwa ilirudiwa Mara tatu nilipiga Kiuno hadi nilitunzwa simu
Ndio hii niliotuma sms

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yeah ni kweli kuchukuliana ndio kila kitu kwenye maisha sababu hakuna aliekamilika! Wote tunakoseana hvy haina haja ya kujikweza na kua mtoa hukumu kwa mwenzio anapokosea.

Huyu baba Chanja anakuaga ba wivu mpk kuna muda hua anajishtukia mwenyewe na kuona aibu anabaki kujisemesha tu "eeh lzm nipanick kila abiria achunge chake nikishangaa ukachukuliwa je[emoji23]" kuna muda unachukia na ww km umekwazika unaishia kucheka tu yanaisha!


Naogopaga sana kufikiria siku ntayoondoka peke yng na kumuacha(kifo) au siku atayoniacha mimi na kuondoka sababu siku zitazobaki zitakua ngumu sana ila Mungu ni mwema nina imani ataendelea kutulinda na kututetea!

Natamanigi niambie wakaka ambao hawajaoa hakuna mwanamke mkamilifu na hua natamani niwaambie wadada ambao hawajaolewa hakuna mwanaume mkamilifu wakilijua hilo itakua rahisi kwao kusameheana na inaweza ikawa sababu ya wao kuishi muda mrefu wa mahusiano na Ndoa!

Nashukuru sana kwa maombi yako mema juu ya ndoa yng nina imani maombi mema km haya ndio yanafanya tuendelee kuwepo na si kwa uwezo wetu peke yetu natamsni kila mtu akae vyema na mwenzi wake maana kiuhalisia maumivu ya mapenzi yanauma sana!

Shukrani mkuu[emoji1431]
 
Hahha tatizo mama chanja una umbo la kiafrica so lazima baba chanja awe na wivu..anamuogopa shekhe kipoozeo

Sent using Damu ya Yesu
 
Jamaa yako wa kwanza, kwa nini ulimuacha???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tea time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.hii chai[emoji12]
2.hii chai[emoji12]
3.hii chai[emoji12]
4.hii chai[emoji12]
5.hii chai[emoji12]
6.hii chai[emoji12]
7.hii chai [emoji12]
8.hii chai[emoji12]
9.hii chai[emoji12]
10.hii chai[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BHANGE hazijawahi kumuacha mtu salama..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupenda bure
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…