Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
Hahahaa ningekuwa na fanana na hiyo avatar si mngezimia sasa ubaya nimepewa msula mbaya bado wanateseka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Demis.....haha nakuimagne upo so sexxy an cute
demis nakuomba pm nipo tegeta hpa kama leo una mda tupge story au kesho tupate moja moto moja bard
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahah "eti mtu anateseka kwa umalaya wa mtu mwingine"Wanataka mods waanze kutusumbua.
Sijui kwanini mtu anateseka kwa umalaya wa mtu mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu sample nione, lakini tusiharibu maana ya uzi wa wadau hapaMm nyuzi zangu nikiandika tu hazimalizi dakika 10, zinafutwaa.... Ziwe jukwa la siasa... Intelligence.... Au mengine... Zinafutwaa chapu... Nafikiri ni kuwa na content sensitive.... Na presentation za wazi mno.... Nifundisheni coding system
Sent using Jamii Forums mobile app
Apone haraka ili Aendelee na kazi ya udereva na kazi ya kukuinamisha!!natamani ningekuwa dereva.... Demiss
Hahahahaaa Demiss naona mabaharia wamepumzika
Hahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Haitakuwa bhana. Mi niko Dar hii Week...Tarehe 24 December nitakuwa Dom.
Mkuu dondosha vitu achana nao hao wanaona wivu tuSalaam Mabaharia!
Nimesikitishwa na response yenu ya mimi kula tunda ktk send-off,eti ni chai.! Jamani haya mambo yapo.
Soon nadondosha nyingine nilivyokula tunda Disko!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]SIKU moja ninarudi nyumbani nakuta mwanamke amekaa sebuleni, mzuri kweli kweli, namfuata, nambusu, nikala tunda palepale sebuleni kimasihara, mwanamke huyo ni mke wangu mpenzi.
Mimi Nakupenda Demiss achana nao hao wenye wivuAlafu kwenye comment yangu tu jaman wanajf hawanipendi kiasi hiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini yeyote anaweza kuwa yeyote...Nyingine hii
Back in days nikiwa O'level Moshi, kuna dem tulisoma nae alikuwa kikojozi sana,mbaya zaidi hakuwa akijipenda na kwao maisha yalikua magumu shule anakuja mchafu, unform zake zimechakaa viatu mtihani, yule dem tulimpa jina la utani "Kimchelee" hili tulikuwa tunalijua sisi wana tu,na tulimpa jina hili kutokana alikuwa ananuka ka harufu flan hivi kama mchele ule unanukiaa, na kama mnataniana mtu akikwambia "dem wako kimchelee"lazima umind hata wasichana wenzake walimtenga!!
Basi bwana,baada ya miaka mingi kupita,mimi nko chuo apo mwaka wa 2,masomo magumu,nina stress balaa napiga Hamza Kanun mojamoja town posta mpya pale,nasikia naitwa na sauti ya kike "chineduu"nikageuka sikuona mtu ninayemfaham nikawaza labda si mimi ukizingatia jina langu ni popular sana, kila nikienda nasikia naitwa tu, mara mtu ananigusa bega kugeuka Aisee!!sikutarajia...
Alikuwa mtoto mmoja mkali vibaya mno, kajaliwa sura, shepu hatari, kavaa uniform za Supermarket moja kubwa na maarufu hapa mjini, ila mimi sikua namkumbuka huyu dem kwa io nkawa sielew kipindi, akaanza za siku, umekuwa mkubwa bla bla bla kibao akawa anaongea yeye tu mimi namtizama, akanambia hakutegemea kuniona hivo nmpe ata 20-30 hivi tukae sehem tuzungumze, kwel tulikaa sehem lakin sikua bado namjua ni nani japo kwenye mazungumzo alionesha kunijua sana!!
Kwa alkil ya haraka haraka nikahisi tulisoma nae, lakini nmesoma mikoa kama 4 hivi tofauti tofauti kwanzia primary-A level.kwenye story akawa anaulizia wanangu nliosoma nao Moshi kwa io nikajua nmesoma nae wap,ila huyu ni nani sina idea,baadae nkamuuliza maswal ya tecnik ambayo majib yake ndo nikajua aaah kumbe huyu ni Kimchelee!! Aisee nilishangaa sana alivyokua, basi story story pale nkachukua namba tukatawanyika ila nilibaki nikistaajabu sana!!
Tuliendelea kuchat nae kawaida tu,na mara nyingi alikuwa akianzisha yeye story,sikua na mawazo ya kumtafuna kwanza alionekana ni wale madem wa tabaka flan hiv,Jumapil moja akanialika kwake Kinondoni,nkamuulza kuhusu shemeji akasema njoo utamkuta hana shida, basi nikaenda kichwani nikiwa na mawazo kwamba natembelea familia ya mke na mume! Nmefika pale nmepokelewa njiani na ma hug mbele za watu adi najisikia soo, maana dem anamwil shepu mzuri alafu mimi dah!!
Tumefika kwake dem amepanga nyumba upande mzima,story mbili tatu nkakaribishwa menyu nmepiga fresh nkamuuliza mbona shem simuoni akanambia kaenda kusoma abroad,bas dem akasema anasikia joto ngoja akajimwagie maji, kaenda karudi aisee Mungu anaumba si mchezo!
Basi dem kaja kakaa pembeni yangu yani 0 distance,japo sebule kubwa, akaanza kuniulizia dem wangu wa o'level nkamwambia aliniacha dem akasikitika kizushi pale me namchora tu, mara ooh sorry nmekukumbusha vidonda wakati nlikuwa normal tu, naona mtu ananikumbatia ananilazia kwenye matiti yake, apo nkaacha uzembe nkajibu mashambulizi pale piga romance ya atari,nkamtenga apo piga sana!! Baadae dem anaanza kulia eti haamini kama kanipata ooh nilikuwa nakupenda tangu O'level ila nilidhan sitokupata kwa sababu ulikuwa unapendwa na wengi!!
Basi niliendelea kujipigia yule dem mpaka bwana ake alivyorudi akamuoa wakahamia Kenya ambako anafanya kazi mshkaji huko, huwa nawasiliana nae mara chache chache sana, na nikiri tu sijawahi kupata dem mzuri kama huyu Tangu nizaliwe!!
Nilichojifunza kwamba unaemdharau leo hii kesho huwezi jua atakuwa nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotelea wapi Masai dada ?Hahahahahahahah "eti mtu anateseka kwa umalaya wa mtu mwingine"