Mm nashangaaa jaman waume za watu nimetembea nao weng usiombe ukutane na mwenye wivu alafu awe muhaaa wa kigomaa loooh
Saaaana. Dunia inakwenda kasi sana I see. Zamani ukimtongoza demu lazima akuulize umeoa. Siku hizi hilo lipo lipo tu limekaa hewani. Hata akikuuliza ukimwambia ndio nimeoa,bado tu ataliwa tu hivyo hivyo kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Umegonga mule mule...nilikuwa na Mawazo kama yako...fake ID ni nini???ni pale Kila kitu Kuhusu wewe ni fekeroooooooooo
 
Hujala ban Hadi muda huu kweli??? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…