Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
tupe story kidogo,waliuawa ama?
 
Mleta hoja , hapa wazungumzia Mwanaume aliyewahi kula mwanamke kimasihara au hata Mwanamke aliye na hamu na akampata /mtega mwanaume kimasihara na akala nuuu yake?
 
tupe story kidogo,waliuawa ama?
Mwanaume alitangulia kufaa baada ya Ndoa kuvunjika ,alikumta Mkewe na Jamaa kwenye Nyumba yake,ilikuwa bahati mbaya kukutwa kwao.

Ni pressure,familia zote zilikuwa njema na wakati wa Ndoa kuvunjika walizinguana sana hizo familia.Kila upande unavutia kwake.
Mke anasema siwezi ishi na hapeleki moto vizuri haijalishi na pesa zake.

Baada ya mwanaume kutangulia haikuchukua muda Mke akafuata na Dereva akawa wa mwisho.
 
Si kweli,kachunguze vyema,fuatilia vizuri.Hii kitu inakula upande wote kwa wote tusjipe moyo.
Binamu yangu alikuwa na ukwasi ,shemeji akawa anatembea na Dereva wake ,wote marehemu sasa toka 2004.
Namaanisha Dereva,Shem na Binamu.
Maisha hayana formula maalumu ni vile watu wanajisahaulisha. Mke wa mtu mwenye ukwasi analiwa kwa nyong'eza ya utumbo.

Tutafute pesa ila tusitarajie itatupa usalama wa ndoa au mahusiano. Always women demand what you don't have! Ukiwa na pesa nyingi anatafuta anayempa muda mwingi na si muda wote site. Ukiwa huna pesa anatafuta mwenye pesa si mwanaume suruali.🀣🀣🀣
 
ulikuwa ni mwaka mmoja wote
 
Ulichelewa wewe, email huduma watu 2000 tayari walikuwa wanatumia, wilayani kwetu pia huduma ilikuwapo na sio mkoani
 
Ndugu wa Mume walipiga kurujuan
 
Kwan lazma mueke na part 2
 
Siku nikimbandua msije kunilaumu nishamjua huyu chalii
 
Duh......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…