πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† atakudharau trust me, huyo ukimkazia anajua alternative
 
Weeeee. Ile hamu ya kumsubiri demu ambaye hujawahi mkamua ni noma.

Kama ni mali safi alafu na kahela umetoa lazima roho iwe juu juu. Ila kama kweli yuko P na mwamba ni kambale lazima afosi kuzama topeni.
Ilitakiwa amwambie ukweli kwamba akija kita β€œhappen” ili yule ajue kabisa apangilie siku ambayo haikaribii period.

Sasa anamuacha mtu aje tu hajasem chochote. Wenzake kabla ya kutuma nauli huwa wanahakikisha mwanamke karidhia kutoa papuchi na akituma nauli tu hapo hapo sexting zinaanza utasikia β€œenhe babe niambie utanipa style ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€ yaani mtoto mpaka anafika chupi imelowa.
 
Alikuwa anajua hadi shanga nimenunua na nikamwambia nitamvaliasha wakati wa tendo na akachagua hadi rangi ya shanga hujiongezi.hapo
 
Ewaaaaa si ndo hapo, sasa kashindwa kumpanga demu kisaikolojia ili ajue akitia timu analiwa, kakaa tu kutoa mihela.
 
Shukuru Allah kakuepusha juu ya jambo fulani
 

Kama kaingia period unataka afanye nini? Mle basi, we ni pumbavu!
 
Sasa ungekata tiketi ya ndege 'go and return' si ndipo ungezirai..

Kiukweli nikuchane tu we ni mshamba.. tena shamba boy la karne...


We unaelewa hali yako taabani, ndio maana basi la VIP kwako unaona kama amepanda dreamliner? au private jet... halafu unavimba kumtoa mwanamke Mwanza ili umgonge, kafika kakunyima uchi umemfungulia uzi...

Kwa hali yako ya kiuchumi ungetafuta mwanamke katika mazingira yako, wapo wengi...

Halafu si kila mwanamke unayemsaidia utake reward ya uchi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…