Ubingwa wake ungesaidia kuuondoa kama ni tatizo. Kama hawezi,basi ubingwa utoe. Kwa hiyo,hakuna daktari bingwa mwenye ukimwi?

Kuna Dr Mmoja alikua anawacrush wenzake anasema Dr unakua bingwa na kuishia hapo hapo unapokua umetoka kusolve tatizo. Ila ukiingia tena unaanza upya, Ubingwa unakuja
kwa muda tu tatizo lolote kuwa solved.
 
Sasa kama anafanya kazi ktk hoteli kubwa, vipi akose nauli ya basi adandie malori?
 
Lugha ya vitoto cya buku2 hii
 
Kuna li shemeji yangu lilimlomba House girl afu jamaa linapiga bao moja tu chali mashine inalala 😂 House girl akatangaza hivo mtaa mzima

Mkewe (sister) akajua, kesi ikaja maskani kwa bi mkubwa😂 Hiko kipengele cha kipiga bao moja kilitajwa kwenye kikao, aibu ilikuwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…