sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
ChaiHuu uzi hakuanzisha rikiboy 2014, angalia hata Tarehe aliyojiunga JF. Yeye alianzisha uzi mwaka 2017 maudhi yakafanana uzi ukaunganishwa.
ChaiHuu uzi hakuanzisha rikiboy 2014, angalia hata Tarehe aliyojiunga JF. Yeye alianzisha uzi mwaka 2017 maudhi yakafanana uzi ukaunganishwa.
Kwamba ulipo hotel za shida saaaana mpaka ulipe mapema au no ushamba wenu wasukuma?Tumeenda kunywa vizuri, akasema tukitoka tunaend, sasa baada ya kunywa, amegoma kapanda boda. Nilishalipa 50k hotel.
Kuanzia leo sitaki shobo nae tena, kanitoa hasara ya 50, bora ningemtumia mama watoto akanunua hata kijora
Kwa anayeujua vizuri huu uzi hauna miaka 10, ulianzishwa 2019 mods kuna sehemu wali mix,,Uzi umefikisha miaka 10 tangu uanzishwe
July 3, 2014
July 3, 2024
Although Leo ni July Tisa,
Hongera bwana rikiboy sijui uliwaza nini kuleta Uzi huu.
Sawa Mkuuu,Kwa anayeujua vizuri huu uzi hauna miaka 10, ulianzishwa 2019 mods kuna sehemu wali mix,,
Rick boy mwenyewe amejoin JF 2017
Mkuu umewai kuishi kenya seheme gani na kwa muda gani? Hivi kiujumla watanzania na wakenya wapi wanaaisha mazuri?Kwa mazingira haya ni kwa nini Wakenya wasiendelee kutuburuza kwenye uchumi, siasa, kudai haki zao(Gen Z), utamamaduni, english
Uzi wa rick boy 2019 mods wakaunganisha na uzi wa zamani 2014 afu wote ukaonekana n wa rickboySawa Mkuuu,
Huu Uzi ulikuwepo kabla ya 2019
SawaTanga, Dar, Pwani, Moro, Lindi, Mtwara mwanangu kote huko ukishawazoea na kujua majukumu yao kichwa hakiwezi kuyumba kinatulizwa na mazingira yanavohitaji utapagawa siku moja ila kichwa kitulize usikipeleke resi.
Kuwa na bonge ya spika harakati zako goal la kukodisha mziki kiongozi. Weka dogo mwenye hio tasnia.
Kimasihara huwa haiombwi,unachukua tuWajuba nipeni maujuzi! Kuna mtu natamani kumkula leo
Naaanzaje,,, ni mtu asiyejua Swahili,,, miezi kadhaa nyuma niliomba game anakazingua na kuchukia,,, safari hii juzi nimeshinda naye toka asbh kuna shopping alikua anafanya,,, leo asbh namsindikiza sehemu,,, nataka tukienda huko ndio niombe mechi
Mchote mtama/ngwala lalia kwa juu piga touch,nyonya mate kama lita 2, pima oil, Zamisha rungu piga shoo ya kibabeWajuba nipeni maujuzi! Kuna mtu natamani kumkula leo
Naaanzaje,,, ni mtu asiyejua Swahili,,, miezi kadhaa nyuma niliomba game anakazingua na kuchukia,,, safari hii juzi nimeshinda naye toka asbh kuna shopping alikua anafanya,,, leo asbh namsindikiza sehemu,,, nataka tukienda huko ndio niombe mechi
kabsaa yaani..Mizinzi utaijua tu
Hii uliichapa kwa urahisi sana mzee. Hukutumia gharama yoyoteNakumbuka Ilikuwa katika harakati za mishe mishe town kariakoo, jion majira ya sa moja hivi nikapanda mwendokasi gerezani - kimara nirudi home, ndani ya mwendokasi nikasimama jirani na binti mmoja alikuwa mrembo mwenye kuvutia mwenye umbo lake kwa nyuma.... Wote tulishukia kimara terminal alinitangulia kidogo kwa mbele nikamfuata nikaanza kupiga nae stry mbili tatu walau nipate kujua jina lake tabasam lake lilinivutia san alionekan kuw mcheshi bas nikampa simu akaandika namba yake akaipiga yeye alikuwa akiishi mitaa tofauti tukaachan pale darajani juu akapita hivi na mm nikapita hivi ..... Nilipifika home nikampigia simu ili kujua kama kafika kwake salama akapokea tukazidi kupiga stry zaidi..... Mida ya sa tatu nikamtumia sms nimeboreka tuonane tukale sehem akakubali, akasema sawa ngoja nijiandae nitakukuambia..... Ikapita kam nusu saa akanitumia sms niko tayari nikukute wapi nikamtajia njoo hapa darajani tulipoachana ......akachukua boda akaja pale nilipo tukaendelea kupiga stry huku tukitembea nikimuonesha onesha mazingira huku njia nikielekeza ya maskani mwisho wa siku nikamwambia naishi hapa akasema "yan wewe haya" nikamkaribisha ndani tukazidi kupiga stry romance dakika chache tu mtoto kalegea😂 nikamaliza mchezo akasema kachoka tukalala.
hisia za binti ukiziteka vizuri hakuna mkate mgumu mbele ya chai, hata nauli utumiHii uliichapa kwa urahisi sana mzee. Hukutumia gharama yoyote
Mademu wa siku hizi rahisi sanaNakumbuka Ilikuwa katika harakati za mishe mishe town kariakoo, jion majira ya sa moja hivi nikapanda mwendokasi gerezani - kimara nirudi home, ndani ya mwendokasi nikasimama jirani na binti mmoja alikuwa mrembo mwenye kuvutia mwenye umbo lake kwa nyuma.... Wote tulishukia kimara terminal alinitangulia kidogo kwa mbele nikamfuata nikaanza kupiga nae stry mbili tatu walau nipate kujua jina lake tabasam lake lilinivutia san alionekan kuw mcheshi bas nikampa simu akaandika namba yake akaipiga yeye alikuwa akiishi mitaa tofauti tukaachan pale darajani juu akapita hivi na mm nikapita hivi ..... Nilipifika home nikampigia simu ili kujua kama kafika kwake salama akapokea tukazidi kupiga stry zaidi..... Mida ya sa tatu nikamtumia sms nimeboreka tuonane tukale sehem akakubali, akasema sawa ngoja nijiandae nitakukuambia..... Ikapita kam nusu saa akanitumia sms niko tayari nikukute wapi nikamtajia njoo hapa darajani tulipoachana ......akachukua boda akaja pale nilipo tukaendelea kupiga stry huku tukitembea nikimuonesha onesha mazingira huku njia nikielekeza ya maskani mwisho wa siku nikamwambia naishi hapa akasema "yan wewe haya" nikamkaribisha ndani tukazidi kupiga stry romance dakika chache tu mtoto kalegea😂 nikamaliza mchezo akasema kachoka tukalala.