Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,655
Huu uzi hakuanzisha rikiboy 2014, angalia hata Tarehe aliyojiunga JF. Yeye alianzisha uzi mwaka 2017 maudhi yakafanana uzi ukaunganishwa.Uzi umefikisha miaka 10 tangu uanzishwe
July 3, 2014
July 3, 2024
Although Leo ni July Tisa,
Hongera bwana rikiboy sijui uliwaza nini kuleta Uzi huu.