Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 343
- 407
Nakumbuka Ilikuwa katika harakati za mishe mishe town kariakoo, jion majira ya sa moja hivi nikapanda mwendokasi gerezani - kimara nirudi home, ndani ya mwendokasi nikasimama jirani na binti mmoja alikuwa mrembo mwenye kuvutia mwenye umbo lake kwa nyuma.... Wote tulishukia kimara terminal alinitangulia kidogo kwa mbele nikamfuata nikaanza kupiga nae stry mbili tatu walau nipate kujua jina lake tabasam lake lilinivutia san alionekan kuw mcheshi bas nikampa simu akaandika namba yake akaipiga yeye alikuwa akiishi mitaa tofauti tukaachan pale darajani juu akapita hivi na mm nikapita hivi ..... Nilipifika home nikampigia simu ili kujua kama kafika kwake salama akapokea tukazidi kupiga stry zaidi..... Mida ya sa tatu nikamtumia sms nimeboreka tuonane tukale sehem akakubali, akasema sawa ngoja nijiandae nitakukuambia..... Ikapita kam nusu saa akanitumia sms niko tayari nikukute wapi nikamtajia njoo hapa darajani tulipoachana ......akachukua boda akaja pale nilipo tukaendelea kupiga stry huku tukitembea nikimuonesha onesha mazingira huku njia nikielekeza ya maskani mwisho wa siku nikamwambia naishi hapa akasema "yan wewe haya" nikamkaribisha ndani tukazidi kupiga stry romance dakika chache tu mtoto kalegea😂 nikamaliza mchezo akasema kachoka tukalala.



