acronym nimependa sana story yako...Naahidi kuwapenda,kuwatunza na kuwalinda wazazi wangu hadi siku ya mwisho.
Kila la kheri ndugu yangu, wazazi wako wakifurahi na wakaishi vyema siku zao za uzeeni hapa duniani ni jambo jema sana.
Achana na hawa wanafiki wa dini halafu hata hawajui wazazi wao wamkula nini huko vijijini.
 
natuamaina amejifunza kitu hatorudia😂😂😂😂😂😂😂
 
kwakweli tembea uyaone mambo ni mengi mno pale unapodhani umeyaona yote 😎 😎 😎
 
Du yaani mazali kama hayo nikipata romantic wa hivyo lazima niweke ndani ...!! Kbs wanawake wengi sio romatic kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly, ]aaah kumbe kuna group kabisa telegram..me nahangaika mpaka ngatwa na mbu bar!!..
 
Umeamua kumuita Master sasa. Kuna channel ya telegram nilipata link kwenye uzi wa Biashara za Badoo kuna majamaa mawili yanasifiwa kwa kufanya video call na warembo wa mule. Wale ni nyinyi 100%
sasa mtu anafaidika vipi na video call?..
 
Alishakuona bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…