Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sio story nzuri hizi kuvunja viapo vya watu tena walioweka agano na Mungu. Ni laana kubwa kiukweli. Tuwasaidie waishi viapo vyao na si kuvunja.

MKUU MTAWA ANAKUJA KWAKO ANAKUWA AMEKUKAGUA VITU VINGI SANA. USAFI WA ROHO. USAFI WA MWILI. NA AMEKUONA UNA AKILI YA KUWEZA KUHIFADHI SIRI AKE. KAKUCHAGUA WEWE KATI YA WALIO BORA. KWA ROMAN CATHOLIC TUNA UTARATIBU WA KUTUBU HADI WAUAJI WANASAMEHEWA DHAMBI ZAO.
ZAMANI KIPINDI CHA KATI YA 500AD-1500AD KANISA LILIKUWA NA UTARAIBU WA KULIPIA DHAMBI. YAANI UNALIPA DHAMBI ZA MWAKA MZIMA. SO NDANI YA HUO MWAKA UKITENDA DHAMBI UNAMWONA PADRI UNATUBU LIFE LINAENDELEA. MAKAHABA, NA WAFALME, ASSASSIN CREED, KNIGHT OF MALTAS WALIFAIDI SANA HUU UTARATIBU
 
Hahaha...umenichekesha sana... Mimi mbona hata situmii telegram mkuu...

Huyo Wick ni master mwenzio
Umeamua kumuita Master sasa. Kuna channel ya telegram nilipata link kwenye uzi wa Biashara za Badoo kuna majamaa mawili yanasifiwa kwa kufanya video call na warembo wa mule. Wale ni nyinyi 100%
 
Duh usafi upi wa roho wakati sio mke wako? Unakuwaje msafi wa roho wakati unazini na mke wa Mungu mwenyewe maana kala kiapo na Mungu sio binadamu cha kumtumikia na kujinyima.
MKUU HALI KUHITAJI KUFANYA SEX IPO TU REGARDLESS NI MTAWA AU NI MALAIKA. VIAPO VINAVUNJWA. SUALA HAPA NI ETHICS TU. WHATS WRONG AND WHATS RIGHT NI KWENYE PERSPECTIVES YAKO BINAFSI. LAKINI KUMBUKA MZINZI, MWIZI NA MUUUAJI MOTO NI ULEULE.
 
Hio video calls ina tofauti gani na kupiga pull mkuu?
Umeamua kumuita Master sasa. Kuna channel ya telegram nilipata link kwenye uzi wa Biashara za Badoo kuna majamaa mawili yanasifiwa kwa kufanya video call na warembo wa mule. Wale ni nyinyi 100%
 
Mkuu hujapigwa ban tu bado
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Najua sina maisha marefu humu.

Ila kimsingi JF hakuna uhuru wa kuongea. Nakumbuka wakati wa sakata la Dr Ulimboka na kupigwa kwake. Mi niliunga mkono nikapigwa ban lakini watu waliokufa kwa ujinga wa Dr Ulimboka walikuwa wangapi? Unajiuliza haki zipi za binadamu wanapigania iwapo wanamlilia mtu mmoja aliyajeruhi huku wakiwaacha wafu kwa maelfu? Napata shida sana na huu msemo "HAKI ZA BINADAMU"

Bazazi
 
Hamna kitu kisichowezekana chini ya jua,imagine huyo demu umefahamiana nae siku hio na ukamuomba uchukue room lodge kwa ajili ya mazungumzo na akakubali...
Naam nikweli... mimi hizo moment zimeshawahi nitokea nyingi sana.... Muhimu ni kujiongeza tu 。。。silaha kubwa be smart..yaani kuanzia unacho kiongea..matendo .usafi wa mwili.Mpaka mavazi
 
Back
Top Bottom