zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,077
- 26,002
nyingine,
kupindi flani nilikuwa moro kimasomo,nikapokea ujumbe toka kwa x wangu kuwa anti yake anakuja moro kapangiwa shule pale nimpokee.
Kunielekeza huyo anti yake, tuliwahi soma nae tuition kipindi flani likizo alitokea dar, alikuwa na nyodo balaa hapo mimi nimepanga chumba kimoja
basi anti kafika nikampokea, kila kitu kikaenda sawa mziki wakati wa kulala nikamwambia chumba ni hikihiki naona anajishauri kinyama (sikuwa na muda nae maana ana vi nyodo vya kiwaki ) nilalala kuja kustuka usiku nae kalala na jinzi nikaona isiwe tabu wacha niwe mpole
siku ya 2-3 tunalala ila sina muda nae akaanza lala na nguo nyepesi ila bado mteule sina muda (maana nakajua kwa nyodo nikaona nisiende haraka)
basi siku moja tumelala katika stori nikawa naongea upande wa shingo yake naona mtu anajinyonga nyonga nkajua huyu mbovu shingoni,wacha nianze kupuliza na kuhemea maeneo ya shingo hahahaha mambo hay
mara naona mtu ananivuta kichwa kukielekezea shingoni, ile kutoa ulimi kumpapasa mtu katoa mayowe nikacheka sana nyodo zote kumbe password iko kwa shingo
kilicho fata ni anti kutotafuta chumba kwa miezi kama mi 5-6 tuko pamoja yule X akinishukuru kwa kumpoa aunty yake (hakujua naishi nae)