Mimi siyo mwana masihara ila huwaga nasoma tu visa humu ila Leo nitaleta mzigo wangu humu ndani, kimasihara yangu tarehe 26 mwezi wa kumi nikiwa natokea Arusha kwenda Dom. Salama leko
aleyku salaam.janga ni lipi
 
Chai
 
code nyepesi
 
Muosha huoshwa mkuu hata huko kusini mke anaoshwa... babaaaa wauni siyo watu[emoji23][emoji23]
 
au huyo alikupa 0713 nini mkuu?
 
Oyaa kutoa Tigo A ni mzoefu kabsa bila shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…