Kama hivyo sawa
 
Shida mimi sio mzurulaji, sidhani kama naweza kukutana na shida kama hizo
Ngoja uanze harakati za utafutaji Kwa wiki unashangaaa umepita mikoa mitatu 🤔sema Sasa Kwa saiv kua na mwenyeji sio Jambo baya lkn sioni haja ya mwenyeji kama ukiandaa bajeti vzr mambo yako yataenda vzr tu🤔 15k-30k unapata guest nzuri ya kulala, 4k-10k unakula chakula muzuri kbs

Kama hupajui sehemu unarequest Uber, bolt & farasi etc
 
Hayo maisha mimi siyawezi
 
[emoji3][emoji3][emoji3]yan mwangwi maana akiongea anajiskia mwenyewe daah[emoji1]
 
Ndio zao hapo inatokea hiyo hana ata pa kuanzia anabaki anaumia[emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Oyaa broo mkuu,, mi watu wa songea wote nawajua muulize jina lake na kijijichake isije kuwa binamu yangu mana sisi wote huku ndugu, ili nianze kukudai posa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…