Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.

Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi

Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.

Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.

Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
 
Kwamba mwangwi...akasema hiiiii mwangwi ukajibu tena hiii
 
Aa asee mwangwi maana yake hakuna hata kijiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…