Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,857
- 7,289
Aaah wakuu si mnasemaga chai ninyi . Au nasema uongo ?
Ushaharibu mahusiano ya watu najua jamaa anakiwasha huko haha.
Aaah wakuu si mnasemaga chai ninyi . Au nasema uongo ?
Duh hatari sana nimeamini jf ina watu wengi sana aise. Jamaa kaliwa demu wake na kaja kutangazwa sijui ataendelea au atapiga chini.
Usikute jamaa kaenda kumuomba demu wake msamaha, amegongewa alfu anaenda kuomba tena msamaha, ukiangalia story ya jamaa line kwa line unaona kuna viashiria vya mwamba anaendeshwa na demu kias fulaniUshaharibu mahusiano ya watu najua jamaa anakiwasha huko haha.
I am sorry bro…Dah mapenzi, mapenzi, mapenzi.
Daaaah like serious unanilaumu mimi ?
Usikute jamaa kaenda kumuomba demu wake msamaha, amegongewa alfu anaenda kuomba tena msamaha, ukiangalia story ya jamaa line kwa line unaona kuna viashiria vya mwamba anaendeshwa na demu kias fulani
Nyie ndio wachonganish ninyi sa demu anamwendesha kivipi ? Leten visa vingine wakuuUsikute jamaa kaenda kumuomba demu wake msamaha, amegongewa alfu anaenda kuomba tena msamaha, ukiangalia story ya jamaa line kwa line unaona kuna viashiria vya mwamba anaendeshwa na demu kias fulani
Daah we jamaa ni mpambe nux yan daaah unakoleza kuni aiseeKweli bro anapelekeshwa kwanza dem atakuagiza vp ukasafishe room lake? si ufala huo[emoji23]
Sijachonganisha mtu, mie nimesoma line kwa line [emoji16]Nyie ndio wachonganish ninyi sa demu anamwendesha kivipi ? Leten visa vingine wakuu
Daah we jamaa ni mpambe nux yan daaah unakoleza kuni aisee
Key LineKweli bro anapelekeshwa kwanza dem atakuagiza vp ukasafishe room lake? si ufala huo[emoji23]
Dah mapenzi, mapenzi, mapenzi.
Key Line
""saa moja jamaake anapiga simu kuwa kamaliza kusafisha gheto lake""
saivi anataka kumpiga chini bwanake sababu pale pale alibadilisha security access ya device zake zote ili awe comfortable with whatever will go on with us.
[emoji16]
Me utanilaumu bure tu me sijamkosea mtu yeyote ndege kaelekea kibra nimechinja ningefanyaje sasa,[emoji23][emoji23][emoji23] sema mwanangu sikupingi huna kosa.
Wanang kaushen bana mtafanya wagombane aisee mambo mengine yanatokea sisi hatujui…achen kuchochea moto wazeeKey Line
""saa moja jamaake anapiga simu kuwa kamaliza kusafisha gheto lake""
saivi anataka kumpiga chini bwanake sababu pale pale alibadilisha security access ya device zake zote ili awe comfortable with whatever will go on with us.
[emoji16]
Hii nchi ngumu sana kuitawala hii , ona huyu nae sasa aisee nyie jamaa mna dhambi sana, yan kitendo kilichofanyika utasema ni murder case kumbe kila siku mambo kama haya yanatokea sema tu kwasababu unakua hujui ndio unaona kawaida, kama iringa kwenye michezo ya SHIMIWI wake za watu ni halali ya majamaa, tukileta visa apa mnaanza kuunganisha dot mnagombana bora tukausheHuyu bro
Baada ya Kuhusi anaweza Kuwa manzi yake akatengeneza ID mpya tarehe 08/10/2023
Na akaupata Ukweli kuwa manzi yake kaliwa kimasihara kweli huku yeye msafisha Ghetto akiachwa solemba
Toka Tarehe 09/10/2023 amepotea kabisa huku JF.
Tuzidi Kumuombea huko alipo awe mzima[emoji40]
Hahaha jamaa , atakua kaenda mumuwashia moto mdada , harafu mdada anakuja kukuambia imekuaje jamaa kajua?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa chai bwana…