Utakachoenda pewa hutaamini braza.Yan utarud na uzi mrefu hapaa tena utaandika huku unalia .
Acha tusubiri.Kesho si ndio simba na yanga?? UTALIA MARA 2 AM TELLING U
Ulikua unavuta nao hizo bangiEquation x upo kama mtoa mada mmevuta bangi
Nani huyo jamani😂🤣,, usiniambie ni wa jf😊😊🤔Leejay49 kuna mtoto kampenda Mwachiluwi hadi raha yaani anampa hela sio mchezo saivi Mwachiluwi hadi anachelewa kazini aisee huyo mdada ni wa ukweli
Hii nayo ni mada?Ni baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
076607306X tusharuka nae subiria manyoyaUsituangushe mkuu kaipige mpaka akuite mume wangu
😁😁 maua maua eehLeejay49 kuna mtoto kampenda Mwachiluwi hadi raha yaani anampa hela sio mchezo saivi Mwachiluwi hadi anachelewa kazini aisee huyo mdada ni wa ukweli
Kakupa nani kwaza ?
Watu wanakulana tu iwe kimasihara au seriousTendo siku hizi limeshakuwa ni kitu cha kawaida, ukiwa na kisalio tu, muda wowote unapata. Na hii imetokana na watu kupenda sana pesa
Changamoto kubwa kwa sasa ni vipato, mtoto anataka kupendeza, kunukia vizuri, akiangalia kulia kushoto hana namna ya kupata hela, inabidi atumie hiyo njia mbadala.Watu wanakulana tu iwe kimasihara au serious
Lydia S7
DahChangamoto kubwa kwa sasa ni vipato, mtoto anataka kupendeza, kunukia vizuri, akiangalia kulia kushoto hana namna ya kupata hela, inabidi atumie hiyo njia mbadala.
Noma sana
Huyu dada atakoma
Yaani atapigiwa simu hadi na machizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]