Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,299
- 60,928
Muulize aliuona wapi😃😃...maana wa kwenye avatar sio mimi 🤣🤣🤣🤣🙌Mshamba anasema Leejay ana mguu wa beer😋🤣
Muulize aliuona wapi😃😃...maana wa kwenye avatar sio mimi 🤣🤣🤣🤣🙌Mshamba anasema Leejay ana mguu wa beer😋🤣
Nataka nijaribu kula mihogo na nyama nione kama nitashiba leo🤣🤣mi ni mbaya ukiniona utashindwa kulala usiku😅
Yupo active nampenda bureyaani kila uzi Leejay ni mtu wa kwanza ku comment
![]()
Sio mimi mbona wapo wengi sana🤣🤣Muulize aliuona wapi😃😃...maana wa kwenye avatar sio mimi 🤣🤣🤣🤣🙌
Hahah😂😂😂🙈Sio mimi mbona wapo wengi sana🤣🤣
Jidanganye😂😂😂...ule wa mwanzo kabisa ni wako bana
Mimi nishampigia na nachat nae sasaivFuta screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Kumbe ndio hivyo😛utashiba sana, ndo maana inaitwa chipsi dume
Sawa mpe namba Mimi nakupa pichaWewe boyaaaz namba ipo hahahahahaha
Namba tayari nmeiona, na ninakuharibia falaa wewe
Toa izo screenshot alafu unitumie Vochabya Eatel ya 5000, ndio nisiwape Wana nambaaa
sa hzNi baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimujpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Aisee 😃😃😃Mimi nishampigia na nachat nae sasaiv
0766073XXX afute tenaFuta screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Soma iiyoòAisee 😃😃😃