General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,277
- 2,644
Heh eh eh eh eh nimecheka kifalaaa🤣🤣🤣🤣Utakachoenda pewa hutaamini braza.Yan utarud na uzi mrefu hapaa tena utaandika huku unalia .
Acha tusubiri.Kesho si ndio simba na yanga?? UTALIA MARA 2 AM TELLING U
Mhhhh muacheni bhn kijana akale hazinaMmh[emoji848][emoji848]......au basi nenda kwanza ukirudi uje nikwambie [emoji18][emoji119][emoji119]
Ni baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Hujuelewi mkuu elewa hivyoWee Mkuu leta vituuu
Nimekumisi kule, unakumbuka una deni langu? Ulini promise kitu🤣hahaha
utani wa ngumi
🤣🤣 yaani kila uzi Leejay ni mtu wa kwanza ku comment😂Hahah😂😂😂...hatuna kazi ya kufanya, tukitumwa dukani tunabana chenji tunaunga bando la kushindia jf...au mshamba_hachekwi unasemaje mdogo wangu 😂😂😂🙈
Weee usiniambie 😃😃🤣🤣🙌🤣🤣 yaani kila uzi Leejay ni mtu wa kwanza ku comment😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi siwezi kukutumia s.shot kama wewe mkuu[emoji1] sema ni mpole hadi raha af she is so shy ivi kwanini yupo ivo[emoji16]
Hzo ni fantansies zenu tu msijifariji, real men wenu wanatusimulia ss msiotujuaReal men don't kiss and tell......sijui wamekuwaje siku hizi
Ila selfika ndio huendi😂. Kwanini?Weee usiniambie 😃😃🤣🤣🙌
hapana kwakweli 😂😂...nyie muendelee tu kuselfika me nlijaribu siku moja nlishindwa🤣🙌Ila selfika ndio huendi😂. Kwanini?
[emoji23] coup d'etat hiyo inaitwaImeishaaa.
Kuna Jamaa aliwah gombana na Demu wake, akaja JF kuweka meseji anaomba mawazo, akawa kaficha namba, ila Kwa macho ya kichina kama yangu ukizoom ,zikawa zinaonekana.
Toka huo mwaka 2018 mpaka Leo, Demu wake najitafunia Kila napopata nafasi ya kuja maeneo yaleeee !!.
🤣🤣🤣 natamani kuona hata ukucha wakohapana kwakweli 😂😂...nyie muendelee tu kuselfika me nlijaribu siku moja nlishindwa🤣🙌
Hebu kwenda🤣mi ni mbaya ukiniona utashindwa kulala usiku😅
Au sioHzo ni fantansies zenu tu msijifariji, real men wenu wanatusimulia ss msiotujua
ili uweweseke usiku sio🤣🤣🤣🤣🤣🤣 natamani kuona hata ukucha wako
Oya achana nao wew Fanya uwahi ukale hilo tunda kwa wakati usichelewe tu maana wachawi wengi mkuuAcheni wivu bana