Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Sio kila mtu unamvulia utakuja mvulia ambaye kujitambua ngumu halafu unajuta maisha yako yote ningejua wengine wanatakiwa uwachunguze kwa undani unaweza kukuta ubongo unavuja
Ila nyie kudinyana jpili raha, unapiga show fresh usiku unamwagilia roho kidogo jtatu unaamkia kazini na kahasira hasira flan unakua hauna mzuka wa kuongea na watu mpaka saa nne hvJamani wewe kijana😃😃🤣🤣🤣🙌
huyu hatamlazia damu kama kaipata kilio kimepelekwa kwa ndugu yetu. maskini lidya ushakuwa wetu sasa.Mzee wa kimasihara 😅😅😅😅hii imeenda
Da Ua jamani😃😃..eti ubongo unavuja🤣🤣🤣🤣🤣🙌Sio kila mtu unamvulia utakuja mvulia ambaye kujitambua ngumu halafu unajuta maisha yako yote ningejua wengine wanatakiwa uwachunguze kwa undani unaweza kukuta ubongo unavuja
hyu lidya ni kibokoNi baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Usiniambie 😃😃😂😂🙌Ila nyie kudinyana jpili raha, unapiga show fresh usiku unamwagilia roho kidogo jtatu unaamkia kazini na kahasira hasira flan unakua hauna mzuka wa kuongea na watu mpaka saa nne hv
Si ile wanajiona hatuna dhamani tena ndio shida kama huyu anaenda kutoa mchezo eti kisa kasaidiwa jambo, si aibu jamani atasaidiwa na wangapi na atawapa wangapi??Real men don't kiss and tell......sijui wamekuwaje siku hizi
Tusubiri uzi kule kwenye jukwaa letu pendwa 😅😅😅😅huyu hatamlazia damu kama kaipata kilio kimepelekwa kwa ndugu yetu. maskini lidya ushakuwa wetu sasa.
Umenistuaa [emoji23][emoji23] haipo banaWewe boyaaaz namba ipo hahahahahaha
Namba tayari nmeiona, na ninakuharibia falaa wewe
Toa izo screenshot alafu unitumie Vochabya Eatel ya 5000, ndio nisiwape Wana nambaaa
Sasa mimi nisemeje jamani wote wanaoenda kupeana shoo hawana aibu jamani huyu kaja kumtangaza huku yule katekenywa tu akakubali jamani ni aibuDa Ua jamani😃😃..eti ubongo unavuja🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Ataenda kuonyeshwa huu ubuyu kama zawadi!Jiheshimu basi....hujapewa tunda ushaleta uzi
Ukipewa je
Ukikua utaacha. This is too childish.Ni baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
kabisa soon mambo yatakuwa kule.Tusubiri uzi kule kwenye jukwaa letu pendwa 😅😅😅😅
Poa tu hata ukiharibu nina uhakika mikimkosa yeye nauhakika wa kula threesome mbili tofauti [emoji23]Wewe boyaaaz namba ipo hahahahahaha
Namba tayari nmeiona, na ninakuharibia falaa wewe
Toa izo screenshot alafu unitumie Vochabya Eatel ya 5000, ndio nisiwape Wana nambaaa
Imeishaaa.Mzee wa kimasihara 😅😅😅😅hii imeenda
Huwezi jua labda ana mda mrefu 😂😂😂😂🙌Sasa mimi nisemeje jamani wote wanaoenda kupeana shoo hawana aibu jamani huyu kaja kumtangaza huku yule katekenywa tu akakubali jamani ni aibu
Kwani unamjua....? Acheni wivuEti anatangaza kabisa anaenda kufanya yake ni aibu dah yaani huyu dada anatakiwa awe makini atapostiwa mitandaoni vibaya sana
Ni baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Skia hamna kitu humo! Watafunaji huwa hawatangazagi kimya kimya mchumba anashikishwa ukuta siku zinasongaUkikua utaacha. This is too childish.