Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,619
- 5,789
huyu yupo pale temeke karibia na hosp upande wa pili mwandiko wake mzuri anaandikia wino wa chini mkuu.Mbona hajui kuandika.
Wivu wa kipemba😩😩😩
huyu yupo pale temeke karibia na hosp upande wa pili mwandiko wake mzuri anaandikia wino wa chini mkuu.Mbona hajui kuandika.
Wivu wa kipemba😩😩😩
Kwisha habari yako. Nasema tena umekwisha hii imeenda mazeeNi baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Msimtishe kijana😂😂😂Kwisha habari yako. Nasema tena umekwisha hii imeenda mazee
Wadau si mnipe muongozo nisije rudi naliaMmh[emoji848][emoji848]......au basi nenda kwanza ukirudi uje nikwambie [emoji18][emoji119][emoji119]
Kumbe ndiye yule muandishi wa dozi ya UTIhuyu yupo pale temeke karibia na hosp upande wa pili mwandiko wake mzuri anaandikia wino wa chini mkuu.
Analeta ukurasa mzima wa saniJiheshimu basi....hujapewa tuna ushaleta uzi
Ukipewa je
Yaani mwanaume gani hana kabaAnaleta ukurasa mzima wa sani
saiz huwezi kuelewa kichwa cha chini kishapata moto naona😃😃😃Wadau si mnipe muongozo nisije rudi nalia
Eti anatangaza kabisa anaenda kufanya yake ni aibu dah yaani huyu dada anatakiwa awe makini atapostiwa mitandaoni vibaya sanaYaani mwanaume gani hana kaba
Ndio ndiye mwenyewe.Kumbe ndiye yule muandishi wa dozi ya UTI
Bora ajue mapema haina haja ya kumfanyia roho mbaya kumkalia kimyaUngemuacha kwanza...tumwambie akirudi😂😂😂
Umehifadhi ya nini mkuu😃😃🤣🤣😂😂😂😂Futa screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Jamani wewe kijana😃😃🤣🤣🤣🙌Maskini Lydia!
Sijui nifungue Uzi wa live update 🤣mpaka shughul itakapokwisha
Real men don't kiss and tell......sijui wamekuwaje siku hiziEti anatangaza kabisa anaenda kufanya yake ni aibu dah yaani huyu dada anatakiwa awe makini atapostiwa mitandaoni vibaya sana
huyu sio mcuba angekuja kwenye uzi wa rick boy apate darsaFuta screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Hapo hata umwambie kwa kutumia nini hatakuelewa... kichwa kishapata moto 😃😃🤣🤣🤣Bora ajue mapema haina haja ya kumfanyia roho mbaya kumkalia kimya
Mzee wa kimasihara 😅😅😅😅hii imeendaFuta screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.