Nilikuwa naiheshimu hii id kumbe ni type ya demiss. I take back all my respect!
 
Aenziwe RIKIBOY..

#FREE_RIKIBOY..
 
hakika mkuu jamaa kazingua kaleta alivyotongoza kimasihara
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
Stori yako imeisha kimasihara
 
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee baharia mkorofi alaah
 
Hatimaye ukafanya kazi yako hongera japo dhorobu ilikuwa kali lakinj mzee baba Meli ikakatiza katika ya dhorobu !!!
 
Hakuna kitu kby kama sms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…