Duuh Aisee Una INFO nduguu..mi skumjua tu km ni demu ila kuptia comments zke mi nlisham soma n mtu mwny hulka gan..Anacheza na Upper Barz Asiyoijua...anaonekn ana minato ya SUPER GLUE Eh😎
 
Duuh Aisee Una INFO nduguu..mi skumjua tu km ni demu ila kuptia comments zke mi nlisham soma n mtu mwny hulka gan..Anacheza na Upper Barz Asiyoijua...anaonekn ana minato ya SUPER GLUE Eh😎
Mmh cheki baadhi ya nyuzi zake kwanzia 2019 utaweza kuconnect dot vizuri tu

Sema watu wanafikiri ni shogz ila labda lesbian wa kike ila jinsia ni ke

Yupo hapa kwa lengo lake maalumu la kutetea mashoga pia inawezekana wakina melo na mods wanaweza kuungnishwa hapa

N. B cheki zile pics za juzi za jf

Hivyo huwezi jua 😳😳😳

Ni rahisi sana kumsoma mtu kupitia threads na comment zake in a given amount of time
 
One of a kind 1️⃣1️⃣
 
Oyaa mzee huku ni jf na ni uzi wa kuburudika ila kuniambia nina akili mgando hapo umenikosea mkuu, hatujawahi kujibizana nyuma wala mahali popote. Cjui nimekosea wapi.
Nisamehe chief Kuna ID kama nne zilinifuata pm zmefanana kinoma nilikua nishavurugana nazo,,,,am so sorry
 
Sikuwahi kumfuatilia ila Kunijibu kwake ki minato kumefany nchukue almost 5 completely minutes kuingia kwny Mindset yake kutak kumjua ni NANI HUYU...always ama Dont care but when It need to Dont, I Do Instead📌
 
Mie hadi napicha yake, ni mweupe slim body mlaini sana
 
We are fathers by social sio biological alishaga sema Prof Kabudi
 
Acha nature ichukue nafasi yake the time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…