Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huyo ni demu mkuuu sema tu ni wale ambao wanapenda kutetea mashoga na wanawakubali

anatimiza miaka 23 mwaka huuu
yupo udsm coet mwaka wa mwisho huu
A level kapiga mazinde juuu hapo tanga PCM

Hivyo ni mwanamke maneno yake kwenye keyboard yasikutishe nishamsoma long tu 🎹
Duuh Aisee Una INFO nduguu..mi skumjua tu km ni demu ila kuptia comments zke mi nlisham soma n mtu mwny hulka gan..Anacheza na Upper Barz Asiyoijua...anaonekn ana minato ya SUPER GLUE Eh😎
 
Mmh cheki baadhi ya nyuzi zake kwanzia 2019 utaweza kuconnect dot vizuri tu

Sema watu wanafikiri ni shogz ila labda lesbian wa kike ila jinsia ni ke

Yupo hapa kwa lengo lake maalumu la kutetea mashoga pia inawezekana wakina melo na mods wanaweza kuungnishwa hapa

N. B cheki zile pics za juzi za jf

Hivyo huwezi jua 😳😳😳

Ni rahisi sana kumsoma mtu kupitia threads na comment zake in a given amount of time
 
2016 kuna mdada nikimtia mimba akakimbia nayo akaenda kuolewa na mjeshi....sikuthubutu hata kunyanyua domo. By 2021, nikatumiwa picha ya mtoto, kwa namba ngeni, kumbe ni mosha mwenyewe....akaniomba nimuachie tu na nimbariki mtoto asije pata matatizo...... nikampa baraka zote, wanaishi vizuri sasahivi, nawaonaga tu status wako mbugani wanakula bata.
One of a kind 1️⃣1️⃣
 
Oyaa mzee huku ni jf na ni uzi wa kuburudika ila kuniambia nina akili mgando hapo umenikosea mkuu, hatujawahi kujibizana nyuma wala mahali popote. Cjui nimekosea wapi.
Nisamehe chief Kuna ID kama nne zilinifuata pm zmefanana kinoma nilikua nishavurugana nazo,,,,am so sorry
 
Mmh cheki baadhi ya nyuzi zake kwanzia 2019 utaweza kuconnect dot vizuri tu

Sema watu wanafikiri ni shogz ila labda lesbian wa kike ila jinsia ni ke

Yupo hapa kwa lengo lake maalumu la kutetea mashoga pia inawezekana wakina melo na mods wanaweza kuungnishwa hapa

N. B cheki zile pics za juzi za jf

Hivyo huwezi jua 😳😳😳

Ni rahisi sana kumsoma mtu kupitia threads na comment zake in a given amount of time
Sikuwahi kumfuatilia ila Kunijibu kwake ki minato kumefany nchukue almost 5 completely minutes kuingia kwny Mindset yake kutak kumjua ni NANI HUYU...always ama Dont care but when It need to Dont, I Do Instead📌
 
Mmh cheki baadhi ya nyuzi zake kwanzia 2019 utaweza kuconnect dot vizuri tu

Sema watu wanafikiri ni shogz ila labda lesbian wa kike ila jinsia ni ke

Yupo hapa kwa lengo lake maalumu la kutetea mashoga pia inawezekana wakina melo na mods wanaweza kuungnishwa hapa

N. B cheki zile pics za juzi za jf

Hivyo huwezi jua [emoji15][emoji15][emoji15]

Ni rahisi sana kumsoma mtu kupitia threads na comment zake in a given amount of time
Mie hadi napicha yake, ni mweupe slim body mlaini sana
 
2016 kuna mdada nikimtia mimba akakimbia nayo akaenda kuolewa na mjeshi....sikuthubutu hata kunyanyua domo. By 2021, nikatumiwa picha ya mtoto, kwa namba ngeni, kumbe ni mosha mwenyewe....akaniomba nimuachie tu na nimbariki mtoto asije pata matatizo...... nikampa baraka zote, wanaishi vizuri sasahivi, nawaonaga tu status wako mbugani wanakula bata.
We are fathers by social sio biological alishaga sema Prof Kabudi
 
Daaah nimeshindwa cha kukomenti broo, sijui hata nikusifie au nifanyaje. Yaan ikiwa we mwenyewe huwezi kujilaumu wala kujipongeza juu ya hilo.
Kuna time inakua ngumu kuamua i wish ungeendelea nae, lkn ni mke wa mtu utapoteza future yako. Mtoto ni damu yako ungeweza kumdai na kisheria ungempata, lkn ukifikiria zaidi either uharibu maisha yake, maisha yako au ya mtoto, au familia yako na yake zote ziharibike mara 1.
Kumuacha mtoto ni uamuzi mzuri, na mm ningeshauri umuachie tu, lkn natamani kama ungeweka ukaribu kidogo na mtoto aanze kukufahamu. Akiwa mtu mzima anaweza kuambiwa kua wewe ndo baba yake.
Acha nature ichukue nafasi yake the time will tell
 
Back
Top Bottom