Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nna mashaka na vitu viwili Afya yako ya akili na Uanaume wako [emoji419][emoji375]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima uhamaki?? Si ujibu tyuuh.
Wabongo bhana kwaa unafiki, mkiguswa sasa mnavoruka km motoo wa kifuu.
 
Unakuja na ID mbilimbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kima wewe ndio fk21 naona upo sirias teteteeee
Sorry mzee, nahic umechanga hiyo ID nyingine ya fk21 sio yangu brother. Ila kama nilikosea kukomement kwenye post au nimekoment kitu usichokipenda am so sorry.
Ila kama umeni attack kwa sababu ya ya ID ya Fk21 mm sio mmiliki wa hiyo account. Unaweza kuzicheki zote utagundua ni tofauti. Na sijawahi kukoment kejeli mzee. Ukisoma vzr hiyo comment yangu wala haikuitaji ugomvu. Ukipost watu wana comment.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo ni experience ya maisha yangu,Cha kunishauri huna wewe Kwa akili Yako mgando hiyo,maji ushakunywa lkn???tuliza temper
Oyaa mzee huku ni jf na ni uzi wa kuburudika ila kuniambia nina akili mgando hapo umenikosea mkuu, hatujawahi kujibizana nyuma wala mahali popote. Cjui nimekosea wapi.
 
Mkuu samahani jamaa hapo unamfahamu nini?...mbona naona amecomment tu ushauri mzuri ila umemjia juu hivyo au mlishakutana kwenye kona zenu
M wala sifahamiani nae na wala sijawahi kujibizana nae mahali popote kanifanisha na ID nyingine. Then ukinifuatilia utahundua kua sina majibu ya hovyo kwa watu wala post zangu za huku jf hua hazizungumzii maisha ya watu direct.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan lazima uhamaki?? Si ujibu tyuuh.
Wabongo bhana kwaa unafiki, mkiguswa sasa mnavoruka km motoo wa kifuu.
Siwez kuhamak hamak ovyo mim Yan nmejbu hku nme relax..kwasabab natambua Who I am..📌
 
Aaah unamaanish nn mkuu?? Kwamba Panapitika au..
Huyo ni demu mkuuu sema tu ni wale ambao wanapenda kutetea mashoga na wanawakubali

anatimiza miaka 23 mwaka huuu
yupo udsm coet mwaka wa mwisho huu
A level kapiga mazinde juuu hapo tanga PCM

Hivyo ni mwanamke maneno yake kwenye keyboard yasikutishe nishamsoma long tu 🎹
 
Back
Top Bottom