Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Mmh cheki baadhi ya nyuzi zake kwanzia 2019 utaweza kuconnect dot vizuri tu

Sema watu wanafikiri ni shogz ila labda lesbian wa kike ila jinsia ni ke

Yupo hapa kwa lengo lake maalumu la kutetea mashoga pia inawezekana wakina melo na mods wanaweza kuungnishwa hapa

N. B cheki zile pics za juzi za jf

Hivyo huwezi jua

Ni rahisi sana kumsoma mtu kupitia threads na comment zake in a given amount of time
Mie hadi napicha yake, ni mweupe slim body mlaini sana
 
2016 kuna mdada nikimtia mimba akakimbia nayo akaenda kuolewa na mjeshi....sikuthubutu hata kunyanyua domo. By 2021, nikatumiwa picha ya mtoto, kwa namba ngeni, kumbe ni mosha mwenyewe....akaniomba nimuachie tu na nimbariki mtoto asije pata matatizo...... nikampa baraka zote, wanaishi vizuri sasahivi, nawaonaga tu status wako mbugani wanakula bata.
We are fathers by social sio biological alishaga sema Prof Kabudi
 
Daaah nimeshindwa cha kukomenti broo, sijui hata nikusifie au nifanyaje. Yaan ikiwa we mwenyewe huwezi kujilaumu wala kujipongeza juu ya hilo.
Kuna time inakua ngumu kuamua i wish ungeendelea nae, lkn ni mke wa mtu utapoteza future yako. Mtoto ni damu yako ungeweza kumdai na kisheria ungempata, lkn ukifikiria zaidi either uharibu maisha yake, maisha yako au ya mtoto, au familia yako na yake zote ziharibike mara 1.
Kumuacha mtoto ni uamuzi mzuri, na mm ningeshauri umuachie tu, lkn natamani kama ungeweka ukaribu kidogo na mtoto aanze kukufahamu. Akiwa mtu mzima anaweza kuambiwa kua wewe ndo baba yake.
Acha nature ichukue nafasi yake the time will tell
 
We are fathers by social sio biological alishaga sema Prof Kabudi
Nimeitafuta mpaka nikaipata.

Kuna mwaka niliekaga mdada flani hivi baada ya kumtongoza kimasihara maana alikuwaga nje ya hospitali niliyokuwa nafanya kazi. Nakumbuka siku natopiga piga tu story na dada huyo nilikuwa sina ata mambo ya kumtongoza.

Wazo likanijia baada ya kunisimuliaga wanaume anaowakataa,, mimi nikamuuliza na waliomtomba. Akajichekesha chekesha nikaomba namba. Siku zikaenda nikajaribu kumuomba mchezo akazingua. Siku moja namuomba mchezo akaniambia kwamba nije usiku ila iwe ni siri yetu.

Siku tunatiana nilishangaa kuona kitu.... alikuwa anahamizuka balaa nikahisi labda yuko kwenye ovulation.

Kesho tukaachana asubuhi,, naja kushangaa ana mimba wala ata anitafuti wala nini! Mtoto akazaliwa mimi nikawa namuona tu wala ata anisumbui matunzo ya mtoto.

Mwisho nikaja jua ana mume wake ila alitaka mbegu yangu kwa sababu mie mchagga.

Alichokisema Kalamaganda ni ukweli mtupo.
 
Alichokisema Kalamaganda ni ukweli mtupo.View attachment 2562534
Duuuuh hiii noma aseee

dronedrake Embu cheki hii kitu
 
Ilq nimekula Pisi nzuri balaa..
Tatizo ina tatoo shingoni, tatoo kwenye nyonyo, tatoo kwenye kiuno juu ya makalio na Tatoo katikati ya paja upande wa Ndani.
Pana usalama Kweli hapa, aafu inajikuta ni kapole

Kalikuqa kananambia nifanye taratibu hakajafanya Muda Mrefu.
Usiwe na Hofu now days utandawazi na mambo ya urembo kawaida hiyo. Kua Tatoo.... Wala sio sababu ya kua !FOX!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom