Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Leo asubuhi nilitoka kwenda kipata supu pale Nyuki, nikapokea msg ya bwa shemeji ambaye ndo anamuoa Pendo Jumamosi. Hakua na stori anaulizia tu advance ya mpiga picha tunatakiwa kulipa sh ngapi maana mm ndo nipo kwenye hoyo kamati.

Nikamjibu then nikamwambia anatakiwa arelax so baadae tuonane tupate moja moto moja baridi, kasema poa. So mida ya saa tisa hii naonana na mshkaji mitaa ya Sinza.

Mimi nimeshafika, ni baa moja iko na mandhari poa na private, then ina vyumba vya kulala wenyeji kwa ndani. Sasa shetani kanipa Idea hapa, maana mlango wa kuingia vyumbani ni tofauti na huku garden tutakako kaa na mshikaji, sasa akili inanikataza kabisa kumuita Pendo, ila mwili sasa unanilazimisha. Dah. Ngoja tuone itakavyokua maana hii vita ya mwili na akili sijui nani atashinda.

Kwa uzoefu nilioupata nikiwa Kariakoo kutoka Kwa wafanyabiashara mbalimbali na kutumia uzoefu wangu mwenyewe wa kuagiza mizigo kutoka China kuja Tz kama wew Ndio unaanza Kwa mara ya kwanza kabisa kutaka ku export China to Tz na unaanza kabisa biashara Njia Bora zaidi ni kuaza kununua mzigo pale pale kariakoo au kwenda Nairobi Kenya kununua Kwa wauzaji wakubwa wanaouza jumla Kwa wafanyabiashara mbalimbali

Tuseme unataka kuaza kuagiza boxer za kiume na vesti zake au labda bags like ponaso,Marcelo.jaribu kutafta wazoefu na soko la kariakoo wakusaidie kupata wauzaji wa jumla ununue mzigo kidogo kidogo uaze taratibu kuuza ukitafuta jina na ukiaza process za wew kujua ABC za kusafirisha mzigo kutoa China kuja Bongo zinakuaje
Mfano kitu ambacho inabidi utambue mzigo kutoa China kuja Tanzania unachukua muda gani had kufika usije kufanya haraka kulipa Kodi frame halafu unategemea mzigo utoke China Ndio uaze kuuza itakula upande wako

We jamaa, hili sio jukwaa la biashara na uchumi wa kati, umekosea njia bro [emoji23]
 
ZUMARIDI amesema hakuna moto
Hata Tupatupa alipelekwa sehem mbili....
Ya kwanza akakuta kuna kuburudika kama kote
Akapelekwa sehem ya pili akakuta wanasifu na kuabudu akaomba kurudishwa kule kwa sehem ya kwanza ...kufika akakuta ni vilio na kusaga meno....
Sasa Zumaridi isije ikawa akirudi huko siko alikooneshwa mara ya kwanza..labda moto hakuoneshwa ila upo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
You were meant for each other. You could make a good couple. Hamjawahi kutafutana tangia hapo? Nje ya muda hiyo perfume bei gani mjomba nikaitafute.

Full name ni TOM FORD OUD WOOD. Kwa Dar the only shop wanauza original ni jamaa yupo dar free market THE ONE kama sikosei. Chukua De perfume. Bei sasa nimesahau ila ni 200k kuendelea. Raha ya perfume OG ni kwamba ina last long na unaweza tumia hata mwaka mzima. Sio zile za kuoga au kupulizia kutwa mara 3. Yaani ni once in the morning and it stays.

Sema angalizo jamani. Perfume Sio deodorant, yaani kama unatumia tu perfume bila deodorant ya kwenye makwapa unakuwa kama unatwanga maji kwenye kinu. Hakikisha una zile deodorant za 48hrs zile zinauzwa 18,000 kuendelea. Zile zinakata harufu ya jasho kabisa na kukufanya uwe fresh. Hata kwenye show ukisweti harufu hamnaa. Sasa unaweza kuwa na perfume ya 300k naah na unajasho kali mzee inakuwa useless.
 
Full name ni TOM FORD OUD WOOD. Kwa Dar the only shop wanauza original ni jamaa yupo dar free market THE ONE kama sikosei. Chukua De perfume. Bei sasa nimesahau ila ni 200k kuendelea. Raha ya perfume OG ni kwamba ina last long na unaweza tumia hata mwaka mzima. Sio zile za kuoga au kupulizia kutwa mara 3. Yaani ni once in the morning and it stays.

Sema angalizo jamani. Perfume Sio deodorant, yaani kama unatumia tu perfume bila deodorant ya kwenye makwapa unakuwa kama unatwanga maji kwenye kinu. Hakikisha una zile deodorant za 48hrs zile zinauzwa 18,000 kuendelea. Zile zinakata harufu ya jasho kabisa na kukufanya uwe fresh. Hata kwenye show ukisweti harufu hamnaa. Sasa unaweza kuwa na perfume ya 300k naah na unajasho kali mzee inakuwa useless.

Mkuu hata ww hii TOM FORD OUD WOOD ulikuwa unatumia copy yake na sio OG, Kwasababu original yake inaanzia 500,000/=.

USA: from 190$
Canada: from 390$
South korea: from 206$

Hii ni premium perfume, copy yake ndo inacheza kwenye 200K-300k
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti ofisi, labda Library ya kuchomea singeli kwenye simu. Maake sio kwa mwandiko huu. Na sidhani kama hii story ina exist. Fanya urejee prepo, achana na mambo ya kudoji mdogo wangu, kitaa ni kigumu asikwambie mtu
Acha ugashoo
 
Oya, Huu Uzi ni matukio ya kula tunda ,matukio yanasamuliwa , Mwandishi anaweza asiwe mzuri kiuamdishi ila anatukio lake.

sasa mtu anapoweka tukio la masihara, achen tabia ya kuanza kushambulia Mwandiko wake.

jikiteni kwenye tukio la kula tunda.

tafadhalini sana, msifanye watu wakaacha kuleta visa vyako.

Wahusika wa Huu Uzi ,mnaelewa maana Huu Uzi, Sina uhakika kama Uzi umevamiwa au lah? Mnaotaka Mwandiko mzuri, mwenden jukwaa lenu la Elimu
Wanafunzi wa art wanazingua sana lkn kwa ma engineer ,madocta , na wafanya biashara hawana tatizo ila hawa walimu wa shule ya msingi na wanafunzi wa art ndio tatizo mkuu
 
Kama anajijua yeye sio mzuri kiuandishi NINASHAURI " Ni heri apige kimya asisimulie story yake"
Humu ndani kuna watoto wana miandiko migumu sana kuisoma, Imagin mtu anaandika ofc, sn. Kwakweli utoto huu hauvumiliki
Kila mtu anahaki ya kuongea, wenye akili tutaelewa na nyie vilaza mnao subiri vitu laini laini tutawatafunia. Kwanza ndio maana mnazidiwa hela na bodaboda
 
Back
Top Bottom