Mkuu kama wewe ni mtalaam wa Afya naomba kuuliza, hivi Kuna baadhi ya watu hawawezi kuambukizwa virus vya UKIMWI?
WAPO

Wana ulemavu katika CD4 receptors zao!! Hawapati kamwe na hawa ndio hutumia kutibu watu HIV (Kama unasikia sijui Ujerumani kuna mtu kapona HIV) ndio huwa wanawatumia hawa katika tiba inaitwa Steam cells Transpalantation
 
Hapo hnaandakiwa kupigwa bonge la mzinga ,na mara nyjngjne ni wanaume wanaweka dp za kike
 
WAPO

Wana ulemavu katika CD4 receptors zao!! Hawapati kamwe na hawa ndio hutumia kutibu watu HIV (Kama unasikia sijui Ujerumani kuna mtu kapona HIV) ndio huwa wanawatumia hawa katika tiba inaitwa Steam cells Transpalantation
Hii ya ujerumani nimeisikia
 
O wanasifika bure, uliza hbr za AB, kwanza hawawezi kufa kisa kukosa damu. Ni universal recipient.
 
Hivi zile PEP ni ARV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…