GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,361
- 5,626
Sina maana hii mkuu, nashukuru kwa kujaliChondechilonde usiendelee huku ukiwa unapiga kavu kila manzi.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Sina maana hii mkuu, nashukuru kwa kujaliChondechilonde usiendelee huku ukiwa unapiga kavu kila manzi.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
WAPOMkuu kama wewe ni mtalaam wa Afya naomba kuuliza, hivi Kuna baadhi ya watu hawawezi kuambukizwa virus vya UKIMWI?
Hapo hnaandakiwa kupigwa bonge la mzinga ,na mara nyjngjne ni wanaume wanaweka dp za kikeJana saaa tisa na nusu usiku, napata sms whataps , wazee wa Gb whataps mnajua, nilikuwa online lakin huwez niona kama nipo online, (Hide)
Kaka mambo, naitwa ......., ......., ....nipo dar naomba niwe tafiki yako, kwa kuchat na kuview status,
Profile demu mkali kinoma, Nikasena haya majaribu haya.
Ngoja tuone.....nin kitatokea
Hii ya ujerumani nimeisikiaWAPO
Wana ulemavu katika CD4 receptors zao!! Hawapati kamwe na hawa ndio hutumia kutibu watu HIV (Kama unasikia sijui Ujerumani kuna mtu kapona HIV) ndio huwa wanawatumia hawa katika tiba inaitwa Steam cells Transpalantation
O wanasifika bure, uliza hbr za AB, kwanza hawawezi kufa kisa kukosa damu. Ni universal recipient.Kwanza me sio mtaalamu wa afya ila kuna doctor aliwahi nambia kuna group la damu wao hawaumwiumwi ovyo na pia damu zao zpo strong si rahisi kupatapata magonjwa hao O(-ive) sijui (+ive) na alisema wapo wachache sana ila kwenye suala la kuambukizwa UKiMWi sijajua ilo.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Duh koromije nilikuepo uko wiki 2 zimepitaKidogo siku moja ningekamwatwaga hapo na mke wa mtu.View attachment 2546435
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zile PEP ni ARV?Apo vidonge vya PEP unapata ndani ya masaa 72 baada ya kujamiiana na mtu unaemuhisi ni muathirika au ni muathirika kweli ukienda Hospital za Govt unapimwa kwanza then unapewa hivyo vidonge ambavyo ni Arv kabisa unatumia kwa muda wa 30days ukimaliza unatakiwa kupima tena HIV/AiDs.
Nmetumia mara mbili mwaka jana mpaka leo kichupa cha dawa ninacho gheto,Mkidonge wake ni mkubwa kisenge japo unaumeza mmoja lakini sio mchezo..
WASHKAJI TUMIENI KINGA MAISHA YA KUMEZA DAWA SHIDA SANA..
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Arv zile mzee me nilizotumia kopo lake ilo apoHivi zile PEP ni ARV?
Kwa sasa PEP NI ARV ndio zimetengenezwa hivyo kulingana na mchanganyiko wakeHivi zile PEP ni ARV?
Mie kuna kipindi niliteleza nikaenda kuchukua hizo PEP. Zile dawa zilivyo kubwa zilinistua sanaaa.Arv zile mzee me nilizotumia kopo lake ilo apoView attachment 2546567
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Kumbe tunapitia matumizi ya ARV kwa muda!Kwa sasa PEP NI ARV ndio zimetengenezwa hivyo kulingana na mchanganyiko wake
Usizini,imeandikwaNisaidieni Lodge ya 20 hivi maeneo ya mwenge
Tulia wewe Mkuu... Tanzania nzuri sanaUsizini,imeandikwa
ImeandikwaTulia wewe Mkuu... Tanzania nzuri sana