Ulishawahi kula tunda kimasihara?
PrEP unakunywa kama upo kweny mazingura hatarishi ya kupata HIV(Before Contact) mfano kama hvo unataka kusex na mwenye maambukiz, au unatumia dawa za kulevya, au wanaojiuza
but PEP zinatumika baada ya kua contact na HIV(After)
Apo vidonge vya PEP unapata ndani ya masaa 72 baada ya kujamiiana na mtu unaemuhisi ni muathirika au ni muathirika kweli ukienda Hospital za Govt unapimwa kwanza then unapewa hivyo vidonge ambavyo ni Arv kabisa unatumia kwa muda wa 30days ukimaliza unatakiwa kupima tena HIV/AiDs.

Nmetumia mara mbili mwaka jana mpaka leo kichupa cha dawa ninacho gheto,Mkidonge wake ni mkubwa kisenge japo unaumeza mmoja lakini sio mchezo..

WASHKAJI TUMIENI KINGA MAISHA YA KUMEZA DAWA SHIDA SANA..

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Apo PEP unakunywa masaa 72 baada ya kujamiiana na mtu unaemuhisi ni muathirika au ni muathirika kweli ukienda Hospital za Govt unapimwa kwanza then unapewa hivyo vidonge ambavyo ni Arv kabisa unatumia kwa muda wa 30days ukimaliza unatakiwa kupima tena HIV/AiDs.

Nmetumia mara mbili mwaka jana mpaka leo kichupa cha dawa ninacho gheto,Mkidonge wake ni mkubwa kisenge japo unaumeza mmoja lakini sio mchezo..

WASHKAJI TUMIENI KINGA MAISHA YA KUMEZA DAWA SHIDA SANA..

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
....... PEP unakunywa (NDANI YA) masaa 72 baada ya kujamiiana na mtu unaemuhisi ni muathirika au ni muathirika kweli...........
 
Apo vidonge vya PEP unapata ndani ya masaa 72 baada ya kujamiiana na mtu unaemuhisi ni muathirika au ni muathirika kweli ukienda Hospital za Govt unapimwa kwanza then unapewa hivyo vidonge ambavyo ni Arv kabisa unatumia kwa muda wa 30days ukimaliza unatakiwa kupima tena HIV/AiDs.

Nmetumia mara mbili mwaka jana mpaka leo kichupa cha dawa ninacho gheto,Mkidonge wake ni mkubwa kisenge japo unaumeza mmoja lakini sio mchezo..

WASHKAJI TUMIENI KINGA MAISHA YA KUMEZA DAWA SHIDA SANA..

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama wewe ni mtalaam wa Afya naomba kuuliza, hivi Kuna baadhi ya watu hawawezi kuambukizwa virus vya UKIMWI?
 
Kwanza me sio mtaalamu wa afya ila kuna doctor aliwahi nambia kuna group la damu wao hawaumwiumwi ovyo na pia damu zao zpo strong si rahisi kupatapata magonjwa hao O(-ive) sijui (+ive) na alisema wapo wachache sana ila kwenye suala la kuambukizwa UKiMWi sijajua ilo.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza me sio mtaalamu wa afya ila kuna doctor aliwahi nambia kuna group la damu wao hawaumwiumwi ovyo na pia damu zao zpo strong si rahisi kupatapata magonjwa hao O(-ive) sijui (+ive) na alisema wapo wachache sana ila kwenye suala la kuambukizwa UKiMWi sijajua ilo.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu, basi ngoja niendelee na utafiti wangu
 
Back
Top Bottom