Ulimlipa marehem mkuu!?
 
Lipo moja lishawahi nisumbua tena ni lecture chuo fln maarufu hapa nchini sasa najiuliza yanaishije na wanawake haddi kupata watoto ???
Mshaanza uongo wenu, yaan lecturer akose mtu had aparamie str8. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi Futuhi zinapatikana ktk uzi huu tyuuh. Lol
 
Hivi Aisha Kadinda naye si alifariki???
 
Aisee,ulikutana na shoga,aliwezaje kuigiza sauti ya kike na usigundue
Mkuu kuna wengne mashine zikishawakolea hata sauti zao znakuwa kama mademu,

kuna wakat nilikuw sehem flani kuna dogo jiran (miaka kama 17-19 hivi) sijui alipata wapi namba yangu akawa ananisumbua kutaka nikamgonge

Na kikukweli ukiongea nae kwenye simu huwez jua kama ni mwanaume na baada ya kugundua mwanaume nikamblock japo akawa anapiga kweny namba zingne nikawa naendelea kublock kila namba atakaenipigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…