Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Ana umri gan?.
23
Ana umri gan?.
Endelea kupiga shot on target [emoji23][emoji23], tutapata tu goli.View attachment 2506430
Huyu wa pili leo saa kumi na moja watatu kaniblock kabisa
Usifanye kosa la kumbembeleza mwanamke zaidi ya wiki ,yaan wee wiki mbili tatu mwez unatongoza.Huyu nazinguaba mda nambembeleza sana
Endelea kupiga shot on target [emoji23][emoji23], tutapata tu goli.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Usifanye kosa la kumbembeleza mwanamke zaidi ya wiki ,yaan wee wiki mbili tatu mwez unatongoza.
Kosa kubwa sana !!
Unampa attention KUBWA Ambayo kwakua umemoaz niyeye wakuamua akukubalie au akukataee.
Wanawake cheza nao akili kiasi kwambaz ahisi, akichelewa kuliwa Nawewe, atakua chezea bahati.
Usiuze Uanaume wako Kwa kumbembeleza .
Aaahhh sawa, Hawa Wana namna ya kuwapata.
Kmmke aseee huyu carlos anatumia dawaView attachment 2506430
Huyu wa pili leo saa kumi na moja watatu kaniblock kabisa
Aaahhh sawa, Hawa Wana namna ya kuwapata.
Maneno machafu machafu ni ama uwambie mademu wakizungu ambao wanaumri huo Mdogo .
Kibongo bongo, Maneno machafu angalau mwambie Demu aliyekwisha kuzaa au awe anaanzia miaka 28 nakuendelea.
Hivi vya umri Mdogo, ukikaambia... Nahamu yakuma yako...
Katakutukana ,kanahisi umekadharau.
Hata Mimi Huwa natukanwa babuu, Tena sana tuz ila nakomaa mpaka papuchi napewa
Natongoza wadada wa Makamo wa umri kuanzia miaka 28 !!!Mbona wew unawapata chap tu
Kmmke aseee huyu carlos anatumia dawa
Natongoza wadada wa Makamo wa umri kuanzia miaka 28 !!!
Hivi vidogo hapana, vidogo vinataka uvihangaikie sana, bado vina utoto.
Vidogo vinataka uwe sharobaro, hapo hapo uwe msanii, ukapeleke bichi, kale chips , kaonyeshe unakapendaaa sanaaaaaa
Mimi sitongozwi mwanamkewakupendana naye Kwa dhati, natongoza mtu anayejua Nina familiar kwahiyo yeye nataka tuwe tunatiana tu sio mambo ya kupenda
Mchongo upi tena 🤔Ngoja tulie dogo af ule mchongo vip
Kipindi Niko Advance, Kuna Madame nilikuaga NAMLA , alinipenda sana , huyo madame alikua ni Mkali, anaogopeka shule nzimaz Hana mazoea ya ovyoovyo na wanafunzi ,wanafunzi wakawa wanamuogopaaaa.Kmmke aseee huyu carlos anatumia dawa
Kaka na Dada eeehh?? Basi ukishaitana Ivo na mwanamke...kumla ni kazi sanaThe way wadada wananiheshimu halafu niwaambie maneno kama njoo nikut***mb nahisi matusi nitakayooga siyo ya nchi hii, nimeshindwa kabisa kula kimasihara tunaitana kaka na dada2
Mchongo upi tena [emoji848]
Ilikuwaje mkuu inaoneka ushapigwa na ganzi ya mapenzi kwahyo huhisi maumivuuNikipata Muda nitawasimulia kwann niliacha kupenda, kwann nikaamua kuwachukulia Wanawake jinsi wanavyotaka.
Kuna mwanamke niliwahi mpenda, mnajua kupenda?? Yaan kupenda mpaka unakosana na kugombana na Wazazi wako kwajili ya mwanamke??, Kupenda kiasi kwamba, Demu anamusaliti unajua, alafu bado unamsamehe??
Basi niliwah kua fala la hivo... Baada ya hapo nikasema Nooo !!.
Mazeee, kwaufupi Kwa Sasa Sina Moyo wakumpenda mwanamke Kwa dhati.
Hata Mke wangu nmezaa naye watoto, ninaishi naye kama Mume tu na Baba, kutimiza wajibu wangu kwake na Kwa wanangu, kuwapa mahitaji n.k
Lkn Et naye itokee siku anizengue, adhanie nitaumiaa Sijui, Sijui nilieee, walaaa... Tutaachana mchana kweupeeeee !!.
Nimesahau mkuuu mambo ni mengi aseeMesahau tena