Siku moja ktk pita njia nikakatiza hapo kati ya popobawa na bi nyau njaa nikashuka zama kwenye kigrosari kimoja barabarani nile japo chips yai na kischana.
Bana ile kuzama kuna pisi sio kali kivilee ile ina nyashi ya kutosha nikaona ngoja na yenyewe niitie kwenye menu.
Haikua kazi,
Bia bia kadhaa maongezi,mi bana nimechoka twende tukapumzike guest.
Demu guest ya ninii nakaa hapo jirani mtaa wa pili twende kwangu.
E bana nilifyatua yule Demu kimoja tu mbele.
Badae nikawa natopeka tu siku mbili niko mle ndani kawa mke kabisa.
Balaa sasa.
Natoka pale siku yapili kojo halieleweki.
Unajua kukojoa uji?
Yaani ile mkojo ukikubana unaanza kulia kwanza,
Nilijuta,
Pigwa sindano 5za mshipa ndio kupona.
Hapo shatumia dawa zote unazijua wewe
Yule mwanamke akinisalimia najibu 'niache mwana ku*anyoko zako'