[emoji16][emoji16] pole sana mkuu ajali kazini
 

[emoji16][emoji16] nimecheka sana
 
Wazinzi ktk ubora waooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni kweli we jamaa ni mzinguaji sanaaa[emoji23][emoji23]
 
Mpuuzi mmoja wewe, Kama kwenu mnagawa hovyo unahisi kila mtu anagawa? Acha kuonesha ufinyu wako wa mawazo hapa, kwa hyo ukisema kila mtu anafanya you mean even your mom do it?

Acha kutetea ujinga !!!! Kama umeamua kufanya fanya kwa ujinga wako na upagani wako acha kuhalalisha kila mtu afanye
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeng'ang'ania hadi mwisho mie hivo siwez kabisa ngoja nianze kujifunza kwako
 
Once ukipiga kimasihara
Kurudia mechi kumbe ni rahisi hivi......
Jamani mechi ya kwanza kimasihara hakikisha unatoa doz ya maaana, mtanishukuru siku moja.
 
Once ukipiga kimasihara
Kurudia mechi kumbe ni rahisi hivi......
Jamani mechi ya kwanza kimasihara hakikisha unatoa doz ya maaana, mtanishukuru siku moja.
Unfortunately, kimàsihara inakua sex fulani hivi tamu sana. Lakini inakua sio ya kukamia. Coz huwezi kukamia kwasababu hukujua kana utasex. Na most of the tunaishia kusex round moja. Coz we are like strangers. Most of Girls wanakua hawawezi kuendelea baada ya mwanaume kumaliza round one.
Labda uwe mbishi umforce sana. Ingawa sometimes inatokea ukasex nae mda mrefu.
 
Nipo nimempeleka jamaa yangu Lodge flan ivi mitaa ya tmk ..kufika reception kuna demu pisi kali sana..jamaa yangu kashazama room na manzi yake niko hapa na huyu demu wa reception .Gafla nikakumbuka huu uzi wa kula kimasihara mpaka sasa naona nnaongoza kwa 70% lazima nimtafune..
Mission ikikamilika ntaleta mrejesho.
 
Ukumbuke kinga
 
Aise mtililiko mzuri nimeipenda let's see itaishia wapi

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Uzi huu uko Kasi sana . kama Hali iko hivyo wanavyosimulia hakika mbinguni ni mbali
Imebidi nijichekee tu...eti "kama hali iko hivyo wanavyosimulia hakika mbinguni ni mbali"
...


Jamani mimi ni mpenzi msomaji tu sikuwahi kupitia chimbo hizo bali nasoma story zenu
 
Kama hii story ni real basi mchizi unajiamini vyakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…