Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,087
- 24,202
Kwani utafiti wako unafanyia wapi kutafuta hiyo Minato?Wakuu.
Wanaume now days wamekuwa wa kichepuka sana na kutumia gharama nyingi.
Kwa utafiti wangu binafsi niseme mimi nachepuka sababu ni moja natafuta MNATO.
Sio watoto sio watu wazima.
sijawahi kuupata hadi leo.
Wanawake shida iko wapi?