Uzi wa kimasihara ulivyonipa mbususu kimasihara.
PART 1
Mimi ni miongoni mwa wale tunaosoma huu uzi na kuondoka. Leo ngoja niwape kisa kilichotokea na uzi huu ukaokoa jahazi.
Niko zangu airport na mwanangu mmoja nimemsindikiza anasafiri,sasa tuliwahi sana kufika so tukawa tumekaa pale ndani airport tunapiga stori mbilitatu kuhusu safari yake kabla ya mwana kwenda kucheck in. Pembeni yetu kulikuwa na maza mmoja na demu mmoja mkali kinoma.Sitaandika sifa za uyo demu sijui yuko hivi yuko vile ila nawaambia mtoto ni mkali sana.At first mimi sikuwa nimewaona sababu niligeuka flani hivi nimewapa mgongo, huyo mwanangu ndo akanishtua oya geuka nyuma kiaina kuna demu mkali sana dizaini yupo na maza wake,nikatafuta timing ya kugeuka na kuangalia,lahaula! Nikamuona yule mtoto alivyo mkali basi Kama nikachachawa hivi nikasimama.Sababu nilisimama ghafla ikanibidi nizuge kwenda kwenye dirisha la foreign exchange,nikazingua kuulizauliza exchange rates nikarudi kwenye viti pale. Yule mwanangu akaniambia dizaini demu kakupagawisha tuliza kichwa uangalie jinsi ya kupata hata namba.Basi tena stori pale zikawa zishavurugika tunamjadili uyo demu tu.Baada ya muda tukaagana na mshkaji huyoo akaenda zake kucheck in,mimi nikabaki pekeyangu pale nausoma mchezo kujua yule demu na maza wake kama nao ni wasafiri au mmoja wao ndo anasafiri au wamendikiza mtu. Ila nikiangalia muonekano dizaini maza ndo anaonekana kisafarisafari,basi nipo nazugazuga na simu yangu pale mara paap kweli bwana naona wanainuka demu anakokota begi maza katangulia mbele,mstari wa kuingia check in ulishaanza na watu wachache maza akaunga nyuma yao.Wakaagana pale na binti kisha nikaona binti huyoo anarudi kukaa palepale walipokuwa mwanzo, dizaini alikuwa anasubiria mpaka maza aingie ndani kabisa.Yani mimi mpaka muda huo nimeganda namuangalia yule demu na kila kinachoendelea, yani kuna muda ananiangalia anakuta mi namtizama kila akigeukia kwangu anakuta mi nimemtolea macho tu( nikikutwaga na hali hiyo ya kuganda namuangalia demu basi ujue apo mbinu zote za kiutongozaji zinayeyuka kichwani kwangu).Basi baada ya yule maza kuingia ndani nikamuona yule mtoto nae huyoo anainuka anaondoka, daah yani na utu uzima wangu bado nikawa kama nimepigwa ganzi hivi nimeganda sielewi cha kufanya,ghafla nikajikuta nimeinuka namfata anapoelekea, tukatoka nje ya airport kuelekea parking za magari ye mbele mi nyuma.Nikasema apa mtumzima mtoto anaweza kuniponyoka hivihivi hata namba sijachukua HAPO SASA NDO UZI WA KIMASIHARA ULIPOFANYA KAZI.
PART 2
Nikamkimbilia kwa nikawa mbele yake huku nimemgeukia yani yeye anaendelea na mwendo mdogomdogo na mimi niko mbele yake tunatizama ila huku nikirudi kinyumenyume taratibu nisidondoke. Nikaanza
Mimi: Hello mambo
Mrembo: Am fine how are you
Mimi: Mbona nakuita toka tunatoka ndani huniitikii (kumbe sijamuita wala nini)
Mrembo: Sure! Mbona sijakusikia kabisa.
Mimi: kweli hukunisikia? Maana nilikuwa naita kwa sauti au labda kwa sababu sikukuita kwa jina lako.
Mrembo: Oh pole sikukusikia kabisa, alafu usitembee hivyo kinyume unaweza dondoka.
Mimi: Dah kweli asante(nikageuka tukawa tunatembea wote sawasawa sasa ile parallel), Samahani unaitwa nani?
Mrembo: Ulikuwa na shida gani, nieleze shida yako jina langu halikusaidii kitu.
Mimi: Oh sorry mimi naitwa Dokezo actually sikuwa na shida na wewe that serious shida yangu ilikuwa ni ya KIMASIHARA TU.
Apo tukawa tayari tumefika parking za magari pale karibu na kibanda cha kupunch zile kadi za gatepass ya gari.Akasimama kuashiria nimalize kuongea na yeye ili aendelee na zake.
Mrembo: I dont understand
Mimi: Yes ni kweli nina shida na wewe ila kama MASIHARA vile lakini ni serious
Mrembo: What do u mean exactly, what do you want (kama ameanza kukasirika hivi)
Mimi: Please calm down, as i told you mimi naitwa Dokezo na nilikuona tukiwa ndani pale muda mrefu sana mpaka unamsindikiza mama yako kwenye line ya kuingia ndani
(Akanikatiza)
Mrembi: Sio mama ni my Auntie yule na nilikuona muda mrefu unaniangalia sikukuelewa.
Mimi: ooh sorry kumbe ni auntie yako anasafiri anaenda wapi?
Mrembo: unataka ujue anaenda wapi ya nini haikuhusu, toka ndani unaniangalia sana na umenifata mpaka huku nje. Please naomba niende i dont think if you have something serious.
Mimi: Sorry please ni kweli i dont have something serious ila nina jambo la KIMASIHARA ambalo ni serious. Please naomba dakika yako moja unisikilize.
Akaanza kupiga hatua anaondoka
Mimi: (nikamuuliza) unafahamu maana ya neno KIMASIHARA?
Mrembo: hapana sijui
Mimi: Niambie hata kidogo unavyoelewa
Mrembo: Please stay away from me na endelea na safari zako maana sikuelewi and you wasting my time.
Mimi: My apology ngoja basi nikueleze tu maana ya neno KIMASIHARA.Hili ni neno lenye maana kinyume na neno serious ambalo ni kwa kiingereza. KIMASIHARA maana yake ni kufanya jambo wakati mwingine ni kubwa sana ila katika hali ya kutokuwa makini nalo na effects zake ambazo huenda zikawa negative au positive.
Hapo alisimama tena na kunipa attention ananisikiliza-
Mrembo: sijakuelewa,sasa hiyo inahusiana nini na mimi?
Mimi: Kiufupi ni hivi wewe mimi haunijui na wala wewe sikujui, we are just strangers to each other. Ndo kwanza tumeonana leo pale ndani airport kila mtu akimsindikiza mtu wake.Shida yangu kwako katika hali ya KIMASIHARA yani bila chembe ya usiriaz naomba tupange tutafutane hata baadae au kesho au tutakapokuwa kuwa na nafasi tufanye mapenzi mi na wewe hivi hivi hata kama sio wapenzi ila tutafanya tu katika hali ya KIMASIHARA na baada ya hapo tutajua kitachoendelea kama ni kuwa wapenzi ambapo ikiwa hivyo nitafurahi sana.
Mrembo: Are out of your mind? Hivi unaongea vitu gani we mkaka.
Mimi: No am not out of my mind ni kweli ninachokueleza ni serious labda jambo lenyewe ndo limekaa KIMASIHARA. Labda mrembo nikuulize haijawahi kutokea ukafanya mapenzi na mtu ambae hujamtarajia kabisa na sio mpenzi wako lakini ikatokea situation ambayo imepelekea kufanya mapenzi na mtu ambae hujamtarajia kabisa. Yani KIMASIHARA tu unajikuta tayari mshafanya??
Mrembo: Daah we kaka unanichekesha sana, yani unataka tufanye mapenzi just simple like that? We kweli hauko siriaz.
Mimi: yees apo apo unapoona sipo siriaz ndio KIMASIHARA ninayomaanisha.Sio lazima leo siku yoyote ile tunawasiliana tunapanga na kwenda kufanga mapenzi.Kama hatujafurahiana basi kilamtu anaishia zake na tukifurahiana basi sasa apo ndo tunakaa na kuanza mahusiano ambayo ni siriaz.
Mrembo: Am sorry my kaka kwa heri naona unanipotezea muda.
Mimi: Nashukuru kwa muda wako ila kama hautajali nisaidie mawasiliano yako. Please hilo usininyime namba yako naomba.
Mrembo; ha ha ha yani we kaka unanifurahisha sana unafanya mambo marahisi sana. Hapana kwa kweli.
Akasema hivyo uku huyoo anaondoka.
Mimi nikasimama pale pale. Nikajiuliza huyu kaja na gari au anaondokaje. Nikawa namuangalia tu akaenda kuna gari Dualis imepaki kwa pembeni akafungua kama dakika moja hivi namuona anakuja tena nilipo ambapo ni njia ya kwenda kibanda cha kupunch gatepass za gari. Uzuri gatepass yangu mimi siiachagi kwenye gari nilikuwa nayo mfukoni. Akawa anakuja ila kama ananikwepa hivi, nikaona poa tu. Huyo na mimi nikasogea sehemu ya kulipia maegesho na zile mashine za kulipia automatic zilikuwa hazifanyi kazi hivyo wote tunaenda kulipia pale kwa cashier wao ndani ya kibanda. Baada ya mimi kumaliza kulipa elfu mbili yao pale akaja mtu mwingine kisha akafata yeye. Wakati huo mimi nimekaa pembeni dizaini namsubiria flani hivi. Akalipa akatoka sasa kuelekea kwenye gari yake na mimi akili yangu ikanambia hii ndio last last chance itumie vizuri. Nikamfata na kuanza kuongea nae
Mimi: (Kwa sauti ya upole na kujitirisha huruma) My new beautifully friend plz look at me, naonekanaje katika macho yako? Yes nakubali i am a stranger to you but do i look like a bad person may be? Please i dont want to waste your time anymore kindly please give me your mobile number.
Mrembo: Hapana kaka siwezi.
Mimi: Dunia ya marafiki hii huwezi jua wapi unaweza kunisaidia au wapi naweza kukusaidia. Unaweza ukatoka nje apo airport barabarani gari yako ikapata pancha unadhani naweza kukupita nikakuacha barabarani pekeyako? Dsm ni mji wa connection sana huwezi jua, hii dunia ya marafiki mpendwa. Nimejieleza vya kutosha i hope umenielewa niandikie namba yako hapa ( nikampa simu huku nimeshaweka sehemu za kuandika namba)
Akaiandika pale tukiwa tushakaribia kwenye gari yake,nikaipiga ikaita nikwamwambia kama utanisave mi naitwa Dokezo.Sijui wewe nisave vipi maana jina lako hukunitajia, kitu cha kufurahisha kilichotokea akaniambia nisave KIMASIHARA.
PART 3
..................... Daah ngoja niendelee na kazi wazee nitamalizia part 3 na ya mwisho baadae jioni