Duh mkuu nahisi huyo hakua dada wa kazi na ye mwenyewe alikuwa baharia so mabahari waki kutana...halafu mkuu una moyo wa chuma yaani una ishi na mtu mmekutana nae kwenye gari tu maana akifia geto ni balaa.
Hiyo ajali tu kazini kaka ..., Si unajua kibongo bongo tunapenda kitonga sana

Na alikaa kwangu zaidi ya miezi mitatu napakua kila aina ya stayle
 
ongeza mdalasini kidogo..kwamba 2004 nyie mlikuwa mkichat kwa sms[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa ulitaka muda huo wa chat kwa nini….sio sms tu hata MMS ..we unaonekana hata hujui simu zilisambaa lini…..watu 1994 simu zipo nyingi tu watu wanazo ..acha chenga we kula story ..
 
We unajua cm imeanza lini??? Kale wewe mtoto wa mama huu uzi haukuhusu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww si umemiliki juzi wakat watu tulikuwa na simens c 306
huyu hazijui siemens C45 na hajui zilivotamba na ile milio ..nikiwa form 2 nadhani ndi mshua alinunu asimu kwangu na mdodo wangu ///...leteni story tu hapa wadau za kula kimasihara
 
2004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hivi
Mule mule C35 C45 C75 ...zote..za C75 zile za kupiga picha vi quality vya hivyo hivyo picha size KB
 
Mkuu hawa Watoto walikuzwa kwa chips zege shida kweli...MTU anashangaa simu 2004????wakati miaka hyo watu wanamiliki vicm Vya kijanja kabisa achana na ile minara ya sabuni...Sijui Motorola Sijui...
Ile minarA MOBITEL IILIKUW 1996 sijui hata hivi kwa wengine nADHani kabla..ila akumbnuka naomba mzee nipige simu kwa Rafiki yangu hapo primary kitambo
 
huyu hazijui siemens C45 na hajui zilivotamba na ile milio ..nikiwa form 2 nadhani ndi mshua alinunu asimu kwangu na mdodo wangu ///...leteni story tu hapa wadau za kula kimasihara


Miaka hyo bei ya simcard (aka line) kwa Sasa unapata simu ya mchina swaaafi Kabisa..
 
Wewe ndio ulimkosea heshima kwanza
 
Jinga la mwaka![emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…