Leteni vitu jamani kama vipi uzi uhamishiwe jukwaa la wazee wa kazi ili tuwe huru
 
Vipi tena aiseee
 
Daah,mi nalitafuta kweli hilo tunda hv naweza kukipa jf?
 

Kumbe ile jinsia iliyopewa jukumu la kubeba tunda haipo mbali na hii thread of the year?? nimeona like ya Mama Debora kwenye comment yangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😘😘😘😘😘😘😘🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
2004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hivi
2000 Novemba nilikuwa na NOKIA 5110
 
Wakiacha kufuta comments niambieni nilete ya kwangu..
 
Kuna uzi naushusha hivi karibuni ngoja kwanza nimle kwa mara ya pili ili nikamilishe mission na akichomoa pia ntasema ila ngoja nisubir bado masaaa machache kula kimasiahara mara 2
Mkuu vipi leta madini hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…