Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,873
[emoji16][emoji16][emoji16]#FreeRikiboy
#JusticeForRikiboy
[emoji16][emoji16][emoji16]#FreeRikiboy
#JusticeForRikiboy
Amesha fupisha story ndugu yangu mbona kaeleza kila kitu unaweza unganisha dots tu mchoro utakua tayari, navizia nitupie kitu huko njia panda soon na mkumbuke nawambia kabisa I'd zangu ni halisi sio za kukopy.Mkuu hadithia hapa yaliyotokea baada ya kuoa kimasihara..Wasap sio wote watumiaji...
Humu tunajifunza mengi pia sio kuburudika tu.
😁😁😁 mkuu namba yake sikusave sikutaka kabisa mawasiliano nayeTupo pamoja kufatilia Kila nukta.
Samahani kwa hiyo mpaka sasa hivi umeoaa au huyo wa kimasiharaaaUnataka nn sijakuelewa yaacheni huyu ni mwanangu siwezi kumweka hadharani hapa utajiri wetu tunaujua tulikoutoa ila hapa kuna watu wa vipato tofauti tofauti sio vyema kuzungumza hapa , kaka PATIGOO humu huezi eleweka nimepitia comments zako vizuri ndio nikaandika hivi.
Angalizo kama mods mlionipiga ban wiki mbili zilizopita mnaweza iquote ile aya nilioandika ikapelekea kupigwa ban kwa wiki mbili, muiweke hapa.
Vijana watapata ya kujifunza na pia mnaoendelea kula tunda kimasihara endeleeni tu, mwenzenu nilioa kimasihara kilichonikuta nakijua mimi. 0717135641 niko wasap tukutane huko
Hio namba haina madhara kwangu mkuu ni kawaida tu pitia post ya Bwana patigoo uone kaandika nn, tupige story za kula tunda kimasihara jamani please.Whatsapp una weka link sio number
Aaaa sawa,mkuuHio namba haina madhara kwangu mkuu ni kawaida tu pitia post ya Bwana patigoo uone kaandika nn, tupige story za kula tunda kimasihara jamani please.
Wanalika hasa wale wenye mizigo weupe huwa ni rahisi kuwapataSijuti,[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hii kali sana
Soma uelewe. Wadada wapo 3.Mmmh mara anauza sheli mara mwanafunzi punguza tangawizi kwa hii chai
Ivi hamna kiboko ya Kiduko lilo?Kweli nimeamini kila mtu na mbabe wake..jamaa alikua hasikii ukimshauri ni matusi tu.. Pigo moja jamaa kawa mpole kama kafumaniwa.
Bora ungekua unakosoa kwa hekima sio matusi na Kujisu kwa wenzio. Moto huzimwa kwa maji sio moto..ungetaka watu wabadirike ungeshauri kwa upole na hekima.
Be Good mkuu Patigoo..Be humble. It's free of charge.
Itakua udhaifu wa haki ya juu kiumbe kimoja kimepambana mpaka kuuzima uzi.Hatimae uzi unakufa ajili ya kiumbe mmoja tu