Ndio Kuna masihara, ila huyu wako anakutengenezea mazingira yawewe kumla .


Kua Makini na Gridi ya Taifa.
Huenda! Lkn ile jana kaanza na kibom!
Nilimcheki mida ya saa mbili night,nkamuuliza vip uko wap! Oooh nilishamaliza shopping na nimetoka niko mahali kidogo na fans wangu,sijui akanieleza walichokuwa wanafanya & blah blah kibao siwezi hata kuzimaliza kueleza but in short alikuwa ananipanga mwisho akataka elfu5 mpesa mda ule ule! Nkamwambia hebu ngoja dk mbili kuna mteja kafika hapa ntakurudia.

Basi ndo nikamtoka kwa style ile & she never come back again na mm sijamtafuta tenaa😂😂
 
Hizi ndizo akili Za Miafrika ni ngono Na pombe
 
Story ziwe fupifupi,

Fupisheni story,


Wengine macho ni mabovu[emoji41]


Hili nalo liangaliwe,


Halafu,muwage mnapima afya zenu,


Afya ndio mtaji vijana.

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Unafiki utakuwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…