Mp4real
Senior Member
- Oct 20, 2013
- 141
- 149
Mfuko wa nini mkuu?All the best... Usisahau 'mfuko'
Mfuko wa nini mkuu?All the best... Usisahau 'mfuko'
Ujinga upi jamn?Wewe fatisha ujinga wa humu ukuponze uharibu kazi
Umekutana na mjasiriamali. Ukute Telegram ana tangazo lake kabisa la chumba safi na salama kipo. Huduma zote zinapatikana.
Sasa kwa mchecheto wako utasema umekula kimasihara kumbe mwenzio alikuwa kazini na kapata mteja kirahisi.
Kumbuka kinga.
Sawa mkuuUmekutana na mjasiriamali. Ukute Telegram ana tangazo lake kabisa la chumba safi na salama kipo. Huduma zote zinapatikana.
Sasa kwa mchecheto wako utasema umekula kimasihara kumbe mwenzio alikuwa kazini na kapata mteja kirahisi.
Kumbuka kinga.
Mfuko wa nini mkuu?
Ooh! Kumbee! Thats mandatory!soksi
Jinga kweli huyoWewe fatisha ujinga wa humu ukuponze uharibu kazi
The same applies,hatumii kinga hata Kama ndo mmekutana [emoji4]Wanaume je?
Harakati za pimbiGazeti la sani[emoji23]
Halafu watu hawajuagi wengine wanavyovisema JF hawafanyi in real ife wala nn, wajinga ndio waliwaoWewe fatisha ujinga wa humu ukuponze uharibu kazi
Mambo ya mitandao hayoHalafu watu hawajuagi wengine wanavyovisema JF hawafanyi in real ife wala nn, wajinga ndio waliwao
Mfano naweza sema kuwa nalala na Malaya wawili kwa siku, kumbe nna familia nimepunzika nyumbani, wewe unaiga unakufa na umeme probably worse
Anaenda kuringishia malaika.Kuna faida yyt anayoipata mtu akifa akiwa na afya njema?
😀😃Weka aya kwanza kwenye uandishi wako ndio turudi kusoma
😂😂Halafu watu hawajuagi wengine wanavyovisema JF hawafanyi in real ife wala nn, wajinga ndio waliwao
Mfano naweza sema kuwa nalala na Malaya wawili kwa siku, kumbe nna familia nimepunzika nyumbani, wewe unaiga unakufa na umeme probably worse
😂Acha tuandike ili wajinga waendelee kuelimika,mi sitaki wajinga waliwe na ntaleta mrejesho pia.Halafu watu hawajuagi wengine wanavyovisema JF hawafanyi in real ife wala nn, wajinga ndio waliwao
Mfano naweza sema kuwa nalala na Malaya wawili kwa siku, kumbe nna familia nimepunzika nyumbani, wewe unaiga unakufa na umeme probably worse
😂simpo like det!Ivi wa dodoma wamesema wamemtoa figo? Huyu sijui watamtoa nn
Saa nyingine wanaume wenzangu wana upuuzi sana.Wewe fatisha ujinga wa humu ukuponze uharibu kazi
🤣 Yeah, that's it😂simpo like det!