Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 26,000
- 137,065
Siwezi kuliwa kizembe,,Wee ndio uliliwa nini![]()
Siwezi kuliwa kizembe,,Wee ndio uliliwa nini![]()
Basi mie nataka nikukule kiakiliSiwezi kuliwa kizembe,,
Inategemea akili zako zipo kwa kichwa kipi??Basi mie nataka nikukule kiakili
Hizi ndizo akili Za Miafrika ni ngono Na pombeKatika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.
Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
===========
TAKE NOTE:
===========
Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Umenijibu comment yangu lakini nimeishia kucheka baada ya kuhuzunikaKuna faida yyt anayoipata mtu akifa akiwa na afya njema?

Ahahahahaa JF imekusanya wa kila kabila/lugha, kila eneo hapa duniani.. Kuwanji va vigana hindondoli, mavele, ni vakemi vohanikajua sitoeleweka,
Kumbe kuna wa kunyumba,
Bwana Jagina , wewe pia ni product ya ngono..!! Tunairembaremba tu kwa kuiita tendo la ndoa..!! Hata hao wasio waafrika nao ni mazao ya ngono..Hizi ndizo akili Za Miafrika ni ngono Na pombe
MmmmmmmmmhInategemea akili zako zipo kwa kichwa kipi??
Kichwa ni kimoja tuu....Inategemea akili zako zipo kwa kichwa kipi??
Unafiki utakuwa!Story ziwe fupifupi,
Fupisheni story,
Wengine macho ni mabovu
Hili nalo liangaliwe,
Halafu,muwage mnapima afya zenu,
Afya ndio mtaji vijana.
![]()
Ahahahahaa JF imekusanya wa kila kabila/lugha, kila eneo hapa duniani.. Kuwanji va vigana hindondoli, mavele, ni vakemi voha






Sio poa mkuu.Oohoooo na reflector yake...wahuni sio watu wazuri
Sijasema kuhusu wazungu, waafrika wakati wote ndio akili yao iko hapo ,ngono Na pombeKwa hiyo wazungu hawagongani au ndo stress za tozoo mzee babaa 😀 😀
Kwa chochote ambacho hukipendi utakona kibaya..!!Mwafrika kafanya zaidi ya ibada wakati wote anawaza ngono Na pombe