Mkuu hadithia hapa yaliyotokea baada ya kuoa kimasihara..Wasap sio wote watumiaji...
Humu tunajifunza mengi pia sio kuburudika tu.
Amesha fupisha story ndugu yangu mbona kaeleza kila kitu unaweza unganisha dots tu mchoro utakua tayari, navizia nitupie kitu huko njia panda soon na mkumbuke nawambia kabisa I'd zangu ni halisi sio za kukopy.
Tulenitunda kimasihara hasa msimu huu wa sikukuu jamani.
Maumivu perday tuje tutoe na experience ya maumivu ya kimasihara, kiafya, kiuchumi na kiakili hivyo yaani.
 
Samahani kwa hiyo mpaka sasa hivi umeoaa au huyo wa kimasiharaaa
 
Da'Vinci, jamaa kawa mpole hata siamini, huko juu alinivurumishia matusi sana..lakini kwa jamaa kanywea dk0
 
Nakumbuka wakati nipo sec. kuna manzi ni ndugu yangu kiukoo sa rafiki yangu akawa anamtaka akasema nimuunganishie nikasema hamna shida nikamwelesha yule dada akaelewa somo hivyo mshkaji akaanza kula, jamaa akawa anakuja home halafu mi naenda kumuitia manzi kuwa wanaongea room kwangu sasa kuna siku nilikuwa na kiu hata nikishika daftari hakipandi kitu, nikaenda kwa manzi nikamwambia jamaa anakuja hivyo aje geto, hivyo alioga fasta akapaka lotion akawa ananukia alivyoingia akasita kukaa kitandani nikamwambia tangu lini umeanza kuogopa humu ndani nilimshika mkono ye mwenyewe aliniuliza swali moja kuwa jamaa akijua nikamwambia hawezi jua nilitafuna kama mtu ambaye ana siku tatu hajala msosi baada ya mgegedo nikaoga zangu material yakawa yanashuka tu jamani haya mambo, mwanaume Acha kutongozewa kama kakukubali ww je mi msaundishaji.
 
Ivi hamna kiboko ya Kiduko lilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…