Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Mwaka 2017 nilikuwa sina mishe ya kueleweka...si unajua tena kizungu zungu cha ajira za magu.
Basi ndugu yangu wa kike akasikia kuna mishe za kuuza bidhaa mbalimbali kwenye wilaya na vijiji vya mkoa wa mtwara kipindi cha mauzo ya korosho maana muda huo wanakijiji wanakuwa wana hela za kutosha na huwa zinalipa sana (huu mwaka magu alikuwa hajaharibu mfumo wa manunuzi ya korosho).
Basi tukapita kariakoo nikamsaidia kufanya manunuzi ya bidhaa zake sisi haoo tukakamata maning nice hadi mtwara mjini then tukakamata kibasi hadi tandahimba.
Romani tuliyopewa ilikuwa ni kuzunguka na watu wa mnada ambao kila siku wakimaliza mauzo basi wanahamia kijiji/kata/ au mji mwingine kwa ajili ya mnada wa siku unaofuata.
Siku tuliyofika mnada ulikuwa kesho yake ni tarehe ya tandahimba.
Basi sisi tukatengeneza mazingira tukawaona viongozi wakatusaidia kupata maeneo ya kupanga bidhaa zetu. Tulibahatika kupewa kaupenyo na kiongozi mstaafu wa mnada (huu mnada una viongozi kabisa...na umechukua makabila karibia yote tanzania nzima...ni kuna watu wengi sana sana). So tukawa tunapata viupendeleo hivi na vile.
Mnada wa tandahimba ukaisha tukasafiri usiku usiku kuelekea kitama ambako tulilala nje kwenye kibaraza cha nyumba moja iliyoko karibu na uwanja wa mnada wa kitama. Basi kitama ikaenda poa ...tukauza...kesho yake tukaelekea mnada wa nanyamba....then tukaona mbona kama inatuchosha so tukaamua tukae tu kijiji cha mtimbwilimbwi tuwe tunazunguka lakini kituo cha kulala kiwe hiko. Basi tukaweka kambi tukawa tunamwaga mzigo kwenye center wateja wanakuja. Tukatafuta na mtu wa bike tukawa tunamlipa anatuuzia jioni analeta hesabu tunamlipa. Mtimbwilimbwi tilipajua kupitia jamaa aliyemuuzia ndugu yangu hii Ramani ya bisnes ya msimu ao ndo alikuwa mwenyeji wetu na makazi yake yakikuwa hapa mtimbwilimbwi. Yeye kazi yake ilikuwa kununua korosho kwa wakulima ambao hawakuwa na uwezo wa kwenda bank na hawana hata hizo account number za malipo.
Basi hapo mtimbwilimbwi kuna kakijana kamoja kalikuwa kanauza duka la ujenzi la baba yake...
Inaendelea mechoka kuandika napumzika kwanza mzabzab

Post imedhaminiwa jaman...
maelezo yamekuwa mengi ungefupisha kidogo tuone jinsi ulivyo liwa kimasikhara tu...
 
KUNA MWAMBA ALIONGELEA MTANDAO FLANI HIVI WA DATING. NIMEPATA BONGE LA PISI
Nilikuwa napitia Huu Uzi, so kuna jamaaa aliongelea kuhusu mitandao ya Dating.
Nikadownload, then nkawa napitia Pisi mbali mbali naangalia Profile.

Wengi wa madem wa Kule walikuwa wauza K, ila kwa bahati nilikutana na dada mmoja, picha zake niliona za Kistaarabu, nikamcheki then tukabadilishqna namba.

Nimekuja Kukutana naye kesho yake Jioni, kwanza kapiga Uniform za bank moja hapa Mjini, alafu yuko ndani ya Vanguard .

Tukapeana Hi, ila me nilianza Kuingiwa na Uoga maana Hata baiskeli sina. Tukaenda sehemu tukanywa Wine, then nikamuomba Tuhamie room, akaniuliza kama Nina Vipimo, so nikamjibu ninavyo (maana najua pa kuvipata.

So tukaingia ndani, baada ya kupima na kuonekana tuko vzuri mdada alianza Kunikumbatia na Makiss Mengi sana..

Mzee sitaki kusema nini kilitokea ila, nilipeleka sana Moto hadi kufikia Bado tano..

Dem hakuamini kwa jinis nilivyo mhandle... maana ana mwili kuliko mimi sema namzidi urefu ila nilikuja kugundua kanizidi kama miaka 7 hivi.

Kila nikionana naye, napeleka moto balaa hadi mwenyewe najishangaa, maana demu ana hamasa, yani anakulilia mpaka unadata mzee!!!.... ukipizi tu anaanza Kulamba koni unarudi mchezoni.

Kuna siku tulipishana kauli, akatishia kwamba tutaachana, me nikamwambia fresh maana nina life langu zuri tu...!! Nikala buyu, baada ya siku mbili akanitafuta na kuomba turudiane kwamba hawezi acha penzi kama hili., nikajua tu ile show ndo inayomchanganya. Nikapiga tena show ya uhakika.

Hadi sahiz nakula Tu.
sasa uo mtandao mbna ujautaja au utak na sisi tupate
 
Mkuu embu tuwekee hapa huo mtandao na wengine wapate.
 
Back
Top Bottom