Enzi hizo Niko mkoa Fulani, wilaya Fulani mwisho wa reli. Mimi nilikuwa wilayani km in charge wa huko na jamaa zangu wa kampuni moja na mimi walikuwa mkoani. Basi Kila week end ilikuwa lazima niingie mjini, yaani mkoani niungane na jamaa zangu ni-refresh mind.
Week end Moja nikawa na mwenyeji wangu "location" yaani kiwanja Cha kula raha tulikuwa tukiita hivyo. Jamaa alikuwa na demu wake Mimi mgeni Sina mtu nachakata maji na nyama tu. Mara jamaa akamshtua demu wake aniitie rafiki yake anipe kampani. Ilikuwa km utani lkn shemeji akanyanyua simu kumwita rafikiye.
Wkt rafikiye anakuja jamaa na demu wake waliishaenda kujipooza ndani, na Mimi nikawa nimebaki mwenyewe namsubiri mgeni afike. Mara mgeni akafika, kalikuwa kadada karembo kweli, kanyamwezi kale bado kinda fulani hivi. Nikajitambulisha, nikamwambia rafikiye wako ndani wanajipooza na boyfreind wake ila aagize chochote anachotaka.
Baada ya kuagiza vinywaji na maakuli, Mimi nikajitoa ufahamu nikamwambia unaonaje tuhamie ndani ni kuzuri zaidi ya hapo. Salalee!!! akakubali na tukahamishiwa Kila kilichochetu chumbani. Huko sasa ilikuwa ni ufundi wa kuchakata maneno kumkaribisha mgeni ili awe mwenyeji na mchakato ukamilike.
Mshikaji alipotoka na demu wake ilibidi watupigie simu, tukavunga tumehama kiwanja wao waendelee tu na yao.
Baadae jamaa, alishangaa Sana imekuwaje nimemkula mwanachuo haraka hivyo. Ndio hivyo niliuliza kimasahara kuingia ndani, akakubali nikala mpaka mzigo. Aliendelea kuwa demu wangu mpaka nilipohama kikazi.