KUNA MWAMBA ALIONGELEA MTANDAO FLANI HIVI WA DATING. NIMEPATA BONGE LA PISI


Nilikuwa napitia Huu Uzi, so kuna jamaaa aliongelea kuhusu mitandao ya Dating.
Nikadownload, then nkawa napitia Pisi mbali mbali naangalia Profile.
Wengi wa madem wa Kule walikuwa wauza K, ila kwa bahati nilikutana na dada mmoja, picha zake niliona za Kistaarabu, nikamcheki then tukabadilishqna namba.
Nimekuja Kukutana naye kesho yake Jioni, kwanza kapiga Uniform za bank moja hapa Mjini, alafu yuko ndani ya Vanguard

.
Tukapeana Hi, ila me nilianza Kuingiwa na Uoga maana Hata baiskeli sina


. Tukaenda sehemu tukanywa Wine, then nikamuomba Tuhamie room, akaniuliza kama Nina Vipimo, so nikamjibu ninavyo (maana najua pa kuvipata.
So tukaingia ndani, baada ya kupima na kuonekana tuko vzuri mdada alianza Kunikumbatia na Makiss Mengi sana.

.
Mzee sitaki kusema nini kilitokea ila, nilipeleka sana Moto hadi kufikia Bado tano.

.
Dem hakuamini kwa jinis nilivyo mhandle... maana ana mwili kuliko mimi sema namzidi urefu ila nilikuja kugundua kanizidi kama miaka 7 hivi.
Kila nikionana naye, napeleka moto balaa hadi mwenyewe najishangaa, maana demu ana hamasa, yani anakulilia mpaka unadata mzee!!!



.... ukipizi tu anaanza Kulamba koni unarudi mchezoni.
Kuna siku tulipishana kauli, akatishia kwamba tutaachana, me nikamwambia fresh maana nina life langu zuri tu...!! Nikala buyu, baada ya siku mbili akanitafuta na kuomba turudiane kwamba hawezi acha penzi kama hili.



, nikajua tu ile show ndo inayomchanganya. Nikapiga tena show ya uhakika.
Hadi sahiz nakula Tu




.