Umenikumbusha demu wangu wa Kisomali, ilikuwa siku nikilala nae basi kesho yake biashara inaenda sio poa yani.
 
tupe maujanja jinsi ya kupata namba zilizopotea
 
Nikiwa nafanya mafundisho ya ubatizo kanisa lipo pugu kuna mtoto anaitwa ester akawa amenielewa kinoma ile mbaya.

Sasa siku naondoka kurudi nyumbani Singida akaniomba tuonane, alhamisi tukaingia kanisani tukasali tukatoka mida ya saa 12 jioni nikamsindikiza maeneo ya kwao kuelekea Pugu Mnadani.

Mpaka saambili ikatukuta njiani sasa nikaanza kumshika shika mtoto hana noma ila kufika sehemu kuna kama kamto halafu majani hivi nkambana anipe akakataa.

Mpaka nilivomuaga na kuondoka kufika mbele ndo akili ikaja kumbe yule ilikuwa ni wa kumbeba tu na kumlaza kwenye yale majani
 
Aisee, nimeletewa sana mbususu nyingi sana utotoni na sikupiga kizembe sana
 
Hujawajua vzur hao watu...
1. Kama hajanyoa hakupi hata kama ana genye
2.kama hajavaa kyupi nzur na safi hakupi
3.kama hajaoga ndo kabisaa

So usione mtoto kakataa anakwambia mfanye siku nyingne halaf wew usie na akil ukafosi.. atachukia saana
[emoji23] nan kakuambia??
 
Nimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa...
Nilikuwa sijasoma hii 😂 😂
 
Mimi nilimkaribisha mrembo mmoja alifika usiku sana na alitakiwa asubuhi apande gari za kwenda huko kwao, nilimpa hifadhi vizuri na wala sikumfanya lolote, asubuhi akajiandaa akaondoka.

Ajabu alipofika huko kwao ananiambia nilijua ungenisumbua nimeshangaa wewe ni wa kitofauti sana nikamwambia siwezi kufanya kitu ambacho wewe hukufikiria kufanya.

Basi kuna siku akaniambia leo nitakuja town na nitafikia kwako go buy condom, ila jua we are not in relationship ila nimejisikia kukutunuku...alikuwa ni mdada mrembo sana hahah!
 
Ukarimu ulikupa Tunda

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…