Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 612
Hivi kwa nini mnatabia ya kuwanyandua wadada wanaokuja field?Mimi nina kimasihara nyingi kidogo ila leo ngoja nitoe hii.
Baada ya kumaliza chuo tu sikusota mtaani nkapata kazi, sasa eneo la kazi linapokea wanafunzi wa field wengi sana.
Miezi kama minne hivi baada ya kuanza kazi walikuja wanafunzi wa field kutoka chuo nilichosomea. Basi kuna bidada mmoja yeye alikuwa busy sana kupiga story na wenzake tu na anapiga kazi sana pia. Sasa siku hiyo nkakuta wapo watatu na wenzie wakiume wawili wanazungumzia mambo ya kutoa au kutokutoa namba.
Nilipofika nkamwambia "toa namba dada, boyfriend anaweza kufa muda wowote" akacheka tu. Baadae tunakaribia kutoka nkamfata nkamwambia vipi sasa hebu andika namba huwezi jua mapenzi huwa yanaanza hata kabla boyfriend hajafa,akacheka then akaandika nkamtext akasave.
Kimasihara sasa, nilimpigia simu kama siku 2 mfululizo tunaongea vizuri tu. Sasa siku ya tatu na nne sikumpigia na hatukuwa tumeonana sababu alikuwa amehama department yetu. Jumamosi kama saa 2 ananpgia analia anauliza kama aniamini ili anieleze mambo yanasomsibu. Nilipomkubalia akasema amepigiwa video call na mshikaji wake akiwa na manzi mwingine so imemuuma. Basi nkamwambia usijali usikae pekeako kama vipi njoo home you deserve better. Haikupita saa 1 huyu hapa.
Nikamweleza kuwa ni mzuri so ikiwezekana usimtafte sababu amefanya hivyo anajua huwezi muacha incase utahitaji wa kumpigia check me anytime. Basi akachangamka na kunizoea nikawasha TV nkaweka movie sasa akawa kama anasinzia nikamvuta kwangu alale miguuni, nywele za kichwani kama nazigusagusa naona binti wa watu miguu haitulii nkaongeza kuzichezea na miguno ikaanza kusikika nkajua huyu tutatongozana baada ya uji mzito kumwagika.
Nilipata utamu kuanzia kwenye kochi mpaka chumbani, baadae akaniuliza kama nna mpenzi nkamwambia ndiyo basi tukawa friend with benefit mpaka anamaliza field yake.
Hata kazini kwangu kuna staff wenzangu ndio tabia zao hizo ila mimi sijawahi bali huwa nawachukulia kama wadogo zangu tu